Upepo wa kisiasa unavuma vibaya kwa upande wa Mh Hamad Rashid wa CUF Unaweza kusababisha kumuengua kutoka ndani ya chama cha CUF.
Bila ya shaka ikitokea hivyo atakuwa na chaguo la vyama viwili...
Hakika inaniwia vigumu sana kuwaelewa wabunge wa mkoa wa Dar kutokana na walichokiita kauli ya pamoja kuhusiana na uamuzi wa waziri wa ujenzi. Ndugu zangu hawa wamevalia njuga swala hili na kusema...
Naanza moja kwa moja
Kwanza
Mrisho Kikwete (kama Mwenyekiti wa CCM taifa) ameshindwa uongozi
jumla! Ameshindwa kukisimamia chama chake (CCM) katika kurudi kwenye asili
baada ya chama hicho...
If anybody on the this forum know what JK vision for Tanzania I would like to know as for know anything goes, no vision, no direction hence anything to him is a goood strategy!
Serikali imeshindwa Kwa miezi miwili kuwalipa intern doctors MNH Hali iliyosababisha wao kuamua kugoma rasmi kuanzia Leo hadi watakapopewa hela yao.
Hii imetokana na wengine kushindwa kupata...
Hizi ni habari za masikitiko makubwa ambazo zinaonyesha nguvu ya mafisadi inavyofanya kazi hapa Tanzania, tathimini inaonyesha rostam alitakiwa kulipa billion 1 kama kodi lakini kilichotokea ni...
Heri ya Mwaka Mpya wana wa CCM, twashukuru mungu tumevuka mwaka baada ya kushiriki kikamilifu miaka 50 ya UHURU.
Vijana kwa wazee, tuwe wawazi na kuthubutu kukitetea na kukiunga mkono chama chenye...
Tuesday, 03 January 2012 20:13
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye
APONDA UTAMADUNI WA POSHO KWA WABUNGE, WATUMISHI, ASEMA FALSAFA YA KUJIVUA GAMBA NI KITANZI KWA CCM 2015
Waandishi Wetu...
Importy Duty 25%
VAT 18%
PAYE 15% (Average kati ya mishaara kuanzia 360,000 kwenda juu)
FUEL LEVY 12% (200Tsh kwa kila Rita)
Jumla 70%
Kwa kuwa huduma za jamii...
Katika gazeti la MwanaHalisi la jumatano Desemba 21 imeripotiwa kwamba serikali imebadilisha maamuzi ya bunge lililoidhinisha mapato na matumizi yake juni mwaka huu kwa kuagiza ajira zote...
Heri ya mwk mpya wanajf na wana chdm wnzng!ni matumumain yng kw mmsheherekea vym!
Najua kuna mambo mengi ambay bado chama chetu kinahtj kufanya ili kujiimarisha zaidi kuelekea chaguzi...
Ninajaribu kufikiria maamuzi magumu yanapochukuliwa na madhara yake kwa hasa msingi uliosimama.
CUF wanakutana Zanzibar na hoja kubwa inaongelea HR.Jana nimepita maeneo ya Darajani karibu na...
Kwanza CCM hawa wananichanganya. Kuna muda mwingine wanakaa wanafanya vikao vyao vya siri lakini masaa machache baadae kila kitu kinajulikana. Kila kiongozi anaropoka ki vyake wakati ilikuwa ni...
Kwa mfano suala la ukaguzi wa leseni. Hivi ilihitajika hata elimu ya form 4 kuepusha kuwakwamisha abiria ambao hawahusiki na leseni? Imeshindikana nini kunote madereva wasio na leseni mpya...
Katika hali ya kustaajabisha nimesikia leo kutoka magazetini Mh Jk amewaagiza TAWIRI kufanya uchunguzi kuhusu utowekaji huo; wakati nijuavyo mimi yeye Rais ni mhusika mkuu. Ukiangalia juzijuzi tu...
Heri ya mwaka mpya mh mkuu wa kaya,napenda kukurudisha kwenye kwa kuwa umekuwa ukihama kwenye mstar mpaka wakati mwingine tunajiuliza kama kweli we ndo rais wa nchi hii,acha umwinyi wa kutoa...
David Kafulila aliyeenguliwa ubunge na chama chake NCCR alipokelewa kwa kishindo kama mfalme jimboni kwake na wananchi
Wakati huko CUF - DAR
kwenye mkutano wa ndani walinzi wa wa chama...