Hamad rashid hafukuziki wakubali awe mwana chama safi

Hamad rashid hafukuziki wakubali awe mwana chama safi

Status
Not open for further replies.

sisi agent

Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
30
Reaction score
16
Kikao kigumu sana dalili za kumfunza mpaka sasa zimekwama lakini jusa nae apata wakati ngumu numekuja kula barudi kikaoni
 
Kikao kigumu sana dalili za kumfunza mpaka sasa zimekwama lakini jusa nae apata wakati ngumu numekuja kula barudi kikaoni

Mnazuga tu mwisho wa kikao mtamfukuza. Hata kafulila ilikuwa hivyohivyo
 
Kikao kigumu sana dalili za kumfunza mpaka sasa zimekwama lakini jusa nae apata wakati ngumu numekuja kula barudi kikaoni

Afukuzwe tu akalime kijijini kwao... ana uroho wa madaraka... anataka uwenyekiti kwa lipi? Kaona mwenzie Seif anakula bata la umakamu rais anatamani awe yeye>> walivyokubali kufunga ndoa na CCM walifikiri vyeo watafaidi wote. Sasa wamegundua aliyebahatika kuwa makamu ama hata waziri ndo anafaidi (kama ilivyo desturi ya viongozi wa kiTZ,) .......alivyoukosa uongozi wa kambi ya upinzani mambo yalikuwa hivihivi... Mimi siwafagilii kabisa watu kama Hamad..
 
mgogoro huu wa cuf ndio inadhihirisha kua hakuna upinzani wala nini ni njaa kama zilivyo njaa zingine tu kama huyu mshkija kumbe target zake ni kugombe urais next time ili akishindwa anajua atakua makamu wa rais by default kutokana na ile deal ya ku share madaraka!
 
Kumbeeeee!
 
hizbullaah in action??? ngoja tuone!
 
CUF wapo kwenye dialema. Wakimfukuza hoja za Hamadi zitapata nguvu zaidi na kukizika CUF. Hamadi kuendelea kuwepo ndani ya chama pia si salama pia kwa utawala wa CUF uliopo batle litaendelea tu.
 
Nasikia habari kutoka Massons Hotel jamaaa keshapigwa chini
 
Nilimwambia Julius mtatiro hakukua na haja ya kikao maana maamuzi walikua nayotayari
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom