Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Karibu viongozi wakuu wote wa kitaifa wa CHADEMA wameshawasili Arusha, leo watawaongoza maelfu wa wakazi wa Jiji la Arusha katika kumbukumbu ya mwaka mmoja ya watu waliouawa kikatili na askari...
10 Reactions
148 Replies
14K Views
Mgodi mmoja wa dhahabu mkoani Mwanza kilometa 50 kutoka Misungwi kuna ajali mgodi wa dhahabu umeangukia na kuua watu zaidi ya kumi sasa hivi. Habari zaidi baadae. ************* Habari zinasema...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Published On: Thu, Jan 5th, 2012 Tanzania | Published On: Thu, Jan 5th, 2012 CUF Deputy Secretary General (Mainland), Mr Julius Mtatiro. A day after the National Governing Council of the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huyu bwana katajwa kwenye thread ya kaka yake kulalamika kuhusu viwanja mafia. sasa sisi wanamafia tunataka kujua kwa nini hajitoketi tukajua moja kama kweli ana nia ya kugopmbea ubunge au la na...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Kuiga kwa matukio ya vyama vingine na wao kufatiliza je ni kwamba wameishiwa mipango Mf CDM walipoomba kuonana na rais kuh katiba nao walifanya hivo Pili NCCR walivomtimua KAFULILA baada ya wiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Wa CUF, Maalim Seif Hamad anatuhumiwa na Ufisadi wa Tshs 500m za Chama ambapo Ufisadi Huo uliibuliwa katika Mkutano wa Baraza kuu uliofanyika Nov 3-4 mwaka huu ktk Ukumbi wa Lamada...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
As the Democrats revise history according to their needs once again, we need to step back and look at what is really going on, in our country. What do we expect in a country that is ruled by a...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Mwandishi Wetu - Raia Mwema Mgodi wa TanzaniteOne *Wasuka mpango kuwazidi ujanja wachimbaji wadogo wa tanzanite *Sheria mpya ya madini yawapa ‘ruksa' bila kujali mgogoro...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni kwa mujibu wa chanel ten,habari jioni hii, Naye Jaji lubuva akiongea na waandishi,ameahidi kuendelerza yale mazuri(namnukuu)yaliyoachwa na mtangulizi wake. Pia ameahidi kulifanyia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
huu ni ukoloni mpya, yaani watu wanatishwa kuhoji..ukihoji tu unapigwa chini.. this is a bullsheit
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye madaktari wa mafunzo wa Hospitali ya Muhimbili na sehemu nyingine wamelipwa pesa zao jioni hii. Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa Madaktari hao, akiongea nami,
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siku za hivi karibuni tumeshuhudia migogoro kadhaa ndani ya vyama vya siasa. Migogoro mikubwa ilikuwa kwenye vyama vitatu, CCM, NCCR-Mageuzi na CUF. Yaliyotokea wote tumeyaona. NCCR wamemfukuza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hawa wamefanya kitu kizuri nawapa pongezi na sisi kila mmoja wetu kwa nafasi zetu tunaweza.....tuichukue hii kama changamoto! 1ST JAN 2012......MUNGU WANUSURU HAWA WATOTO...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Akiwaapisha majaji wa staafu kushika nyadhifa za kuongoza tume ya uchaguzi,lile tabasamu lake alilotuonyesha kwenye maafa ya mabomu na mafuriko,kwa kweli nimetambua kuwa rais anaweza kabisa...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
WAZIRI wa Nishati na Madini, William Mganga Ngeleja ameibomoa ngome ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya viongozi wa chama hicho Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza kurudisha...
1 Reactions
81 Replies
10K Views
0 digg Naibu Spika wa Bunge,Job Ndugai ASEMA HANA USAFI WA KUBEZA NYONGEZA YA POSHO Fredy Azzah NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai amemjia juu Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye kuhusu...
3 Reactions
105 Replies
8K Views
Najua mtasema mbona hata CCM katibu mkuu ndiye mwenyekiti wa sekretarieti. Lakini ile inapaswa kuwa kamati ya utekelezaji wa maamuzi na kama CUF wanavyoiita kamati ya utendaji. Ina maana yupo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
John Tendwa, msajili wa vyama vya siasa nchini MSAJILI wa Vyama Vya Siasa, John Tendwa amesema kwamba ofisi yake inafikiria kuwezakubadilisha mifumo ya uchaguzi kwa kufikiria nafasi na haki za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tanzania | Published On: Tue, Jan 3rd, 2012 A new opposition political party, Movement for Democracy and Economic Change, is in the offing. After expiry of its provisional registration in July...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Published On: Thu, Jan 5th, 2012 Tanzania | Published On: Thu, Jan 5th, 2012 Norwegian Minister of Health, Ms Anne-Grete Strøm-Erichsen OSLO, Norway, January 5, 2012/African Press...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…