30 wahofiwa kufukiwa na Mgodi Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

30 wahofiwa kufukiwa na Mgodi Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Jan 5, 2012.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mgodi mmoja wa dhahabu mkoani Mwanza kilometa 50 kutoka Misungwi kuna ajali mgodi wa dhahabu umeangukia na kuua watu zaidi ya kumi sasa hivi. Habari zaidi baadae.

  *************
  Habari zinasema idadi ya watu waliofukiwa inazidi 30
   
 2. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wapi, Mabuki?
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kafara hizo
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Huko huko Geita kuna mwingine umevamiwa na wananchi wenye uchungu wa mali yao huku mkoloni alikuwa akisafirisha vitofali 34 vya dhahabu vyenye kilo 24kg kila kimoja.
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mungu azid kuwapa nguvu hao Wazalendo wanaozuia Rasilimali zetu zisiibiwe, mtawaita Majambazi kwangu mimi nawaita Wazalendo wenye uchungu na rasilimali zao
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,142
  Likes Received: 574
  Trophy Points: 280
  halafu wale ndo huwa wanachimba kando ya barabara
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,359
  Likes Received: 14,634
  Trophy Points: 280
  wamekufa wat au makaburu?
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Pole zao sana
   
 9. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,292
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  duh.... hii misiba hii ni ajali uzembe au ajali-ajali?...hakika walalahoi tutaisha
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,200
  Likes Received: 1,598
  Trophy Points: 280
  Kumbe makaburu sio watu?!
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,200
  Likes Received: 1,598
  Trophy Points: 280
  Uzembe na kafara vinashabihiana, kwa wazembe lakini
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Hivi majambazi nao ni watu wenye uchungu na mali zao nchi?
   
 13. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  watu wa uokozi mpo wapi,huo mgodi ni local mgodi ama kuna mamitambo ya kisasa hapo yanachimba,kama ni local mgodi kazi ya kuwaokoa huwa inakuwa ngumu sana kutokana na uchimbaji wao huwa si wa mpangilio
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,071
  Likes Received: 5,209
  Trophy Points: 280
  Hii habari imefikia wapi? do we know anything more?
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,960
  Likes Received: 889
  Trophy Points: 280
  Wachimbaji wadogo wadogo? Feel so sorry for all those affected by the incident.
   
Loading...