Yaliyojiri uwanja wa NMC - Arusha

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Karibu viongozi wakuu wote wa kitaifa wa CHADEMA wameshawasili Arusha, leo watawaongoza maelfu wa wakazi wa Jiji la Arusha katika kumbukumbu ya mwaka mmoja ya watu waliouawa kikatili na askari polisi, Januari 5, mwaka jana.Maandalizi yameanza hapa uwanjani jeshi la Polisi limetoa baraka zote za mkutano, tutataarifiana kitakachokuwa kinaendelea.
 
Nawapongeza kwa kukumbusha mambo ambayo serikali ya magamba hua ndo inachukulia kwamba watu wameshahau ndo loophole ya kuendeleza ukandamizaji.Chekulia mambo kama Richmond ,sasa la jairo ,luhajo hakuna kitakochofanyika zaidi ya uhuni tu na porojo kibao . Viva CDM
 
EasyFit,
Viva sana Atown
Tumetuma uwakilishi wetu toka Kanda ya Ziwa jana saa 11 Jioni wamelala Singida.
Wapo ktk COASTER kwa sasa wamepita maeneo ya Magugu.
Pigeni pin, CCeM washakufa
 
Ni muhimu kuwakumbuka na kuwaenzi wapigania haki na usawa katika jamii zetu na walifanyalo CHADEMA ni jambo zuri na la busara sana,tuwakumbuke wapigania haki nademokrasia ya kweli kwa vitendo.
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!
 
haya ndo mambo muhimu ya kukumbukwa kwa chama makini na watu makini.....pamoja sana chadema ...ila kwenye kupokea zile kilo mbili bana mliniangusha sana ..hasa wewe mnyika nimepigwa virugu na polisi kulinda kura zako ujue
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!

Matonya anjua kuandika? da dunia imeisha
 
si kwama CUF walivyojibu jana kupitia Mtatiro anayetegemea kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa CUF baada ya Lipumba, kuwa chama chao hakina kumbukumbu za kuwakumbuka waathirika wa mabomu ya mkapa, maana huko ni kuwagombanisha wapemba na wazanzibari, eti huyu nae anaitwa kiongozi wa chama. Tuko pamoja wapambanaji tunawafuatilia
 
Wawakumbuke kwa vitendo , kwa kuangalia wale waliokuwa wanawategemea na kuwasaidia katika mambo muhimu kama elimu, malazi, matibabu na huduma zingine muhim.
 
Yetu macho na masikio tupate salamu za mwaka MPYA toka kwa Dr. Slaa, tumemmiss sana
 
wasiache kuzungumzia impact ya prince riz1 katika uchumi wa tz.
 
Kumbe kweli hiki ni chama cha wapenda sifa! Huu ni upuuzi wa hali ya juu, badala wawahimize wananchi wachape kazi kuondoa umaskini wao kila siku ni mikikutano tena hasa arusha! Naona viongozi wote wa chadma sasa watakuwa matahiira maana kila mahali wanaandamana wote, majimbo mmepewa lakini hakuna dalili yoyote ya maendeleo zaidi ya kuchochea vurugu kila siku. Najua mtanishambulia sana ila ukweli unauma! Acheni watu wafanye kazi hata ninyi mko kazini maana mnalipwa posho sio bure, na watakaohudhuria hio kumbukumbu ni mbumbumbu wa kufikili
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!
ni ukweli mtupu hakuna la maana hapo ni kuwapotezea watu mda!
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!

inategemeana na falsafa inayokuongoza. Kwa habari ya dini, ukristo wa kweli na ufalme wa Mungu, haina maana ya kuwakumbuka wafu na haiwapunguzii/haiwaongezei lolote kwa Mungu'

Falsafa ya KISIASA, suala la kuwakumbuka wapambanaji lina umhimu mkubwa sana. Unawakumbuka wapambanaji lakini hapohapo unahamasisha wengine kutokuwa woga wa kudai kile wanachokiamini. Ni kupitia matukio kama hayo, CDM iataongeza wapenzi na wadau kwa kinajali na kukumbuka michango ya wapigania haki.

VIVI CDM
 
Back
Top Bottom