Published On: Sat, Jan 21st, 2012Tanzania | Published On: Sat, Jan 21st, 2012
Embattled Wawi legislator Hamad Rashid Mohamed (C) chats with his colleagues, expelled alongside him from the Civic...
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa...
Wadau jana nilimsikiliza HR akiongea na waandishi wa habari mara baada ya shauri lake kusikilizwa na mahakama! Katika maelezo yake alidai kuwa ana imani kubwa na mahakama na ana imani kuwa...
Kwa takribani muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia thread mbalimbali humu Jf. Baada ya kutafakari kwa muda mrefu juu ya mambo mbalimbali kuhusu harakati zetu sisi watanzania nimekuja kutambua...
By Esther Tanquintic-Misa| January 20, 2012 5:35 PM EST
Eastern African nation Tanzania could well perhaps be the next frontier of rare earth elements as it waits on the formal announcement of a...
Wapishi wa zengwe ni pamoja na hawa hapa:
1: Grace Abdiel Shangali - Kwa kutegemea atawekewa kifua ili auziwe nyumba ya serikali, huyu ame-facilitate upishi wa Zengwe kwa kushirikiana na jamaa...
Kikao cha mkutano mkuu wa dharura wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) kilichofanyika leo siku ya jumamosi, tarehe 14/01/2012 ukumbi wa JAFFARY COMPLEX kimejadili kwa kina yafuatayo:
1...
Hebu tazameni hii picha ya hawa waheshimiwa wanatembelea miradi kijijini na kukutana na wanavijiji, hivi kweli hawana nguo zinazoendana na hali halisi ya mazingira wanayoenda kutembelea? natumaini...
Mimi ni mwana CCM damu na najua hili litawakela wengi ndani ya jamvi. Mara nyingi nimekuwa nikufuatilia sana masuala ya vyombo vya habari vyote bila kuacha hat ahii forum. lkn kila nilkisia kuhusu...
WAZO LA KUFUNGUA MATAWI YA CHADEMA KWA NJIA YA MTANDAO KATIKA OFISI ZA UMMA
Ndugu wanajamvi hasa wapenzi na wanachama wa CHADEMA nianze na kuwapa pole ya msiba mzito wa Mbunge na mpiganaji wetu...
MBUNGE FILIKUNJOMBE AWAKATAA WAHANDISI MBELE YA NAIBU WAZIRI ATAKA NAIBU WAZIRI AONDOKE NAO,KISA UFISADI WA FEDHA ZA MIRADI
Picha Kushoto:
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe (kushoto)...
Kimei ashindwa kutoa salam, ajawa na sauti yenye simanzi, machozi yamtoka.
Spika agoma kutoa salam, protokali haiguzingatiwa.
Manywele kama kawaida front desk, leo yuko beneti na makinda utadhani...
kazi badoo kubwa ndugu zangu wa chadema, kamati kuu inayokaa kesho jijini Dar tungependa iwatoe kina mnyika wa pili, zito wa pili, wenje wa pili, hakuna kulala, si mnajua siasa za Zanzibar? One...
Kwa habari ya faster niliyosikia jana kwenye vyombo vya habari mgodi wa kiwira umeuzwa kwa wawekezaji,wana JF hii ina maanisha nini wakati serikali ndo iko kwenye mchakato wa kutumia makaa ya mawe...
Kwa taarifa zilizonifikia pamoja na taarifa ya habari ya STAR TV jioni hii chama cha madaktari kanda ya ziwa MAT LAKE ZONE leo walikuwa na mkutano kuanzia saa sita mchana ambapo baada ya mkutano...
"Hivi ni kweli kwamba hii issue ya madaktari haina public attention kiivyo au ni mchezo mchafu wa media zetu,kwani kuna habari vituo vikubwa wanaripoti za kitoto kweli hata hazina umuhimu ila...
Visingizio vya kuahirisha vingi sana kama vilivyoelezwa ktk radio lakini watu wazima akili mkichwa; mlikuwa mnapima upepo wa siasa zetu; kama wewe boga basi wewe boga huwezi kuitwa jiwe.
Kwa wapenzi wa CDM...
Nimeona ni vyema tukilijadili hili la changamoto zilizopo ili ikiwezekana zifanyiwe kazi mapema kabla ya kuingia ulingoni
Katika uchaguzi mgumu wa majimbo huu utakuwa mmoja...
Heshima zenu wakuu,
Poleni sana na msiba wa dada yetu na rafiki yetu Regia, mwenyezi Mungu awape faraja na nguvu ya kurudi kwenye majukumu yenu ya kila siku, amen.
Nina maswali mawili kwenu na...