Wabunge wetu na kutokuwa karibu na maisha halisi ya watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wetu na kutokuwa karibu na maisha halisi ya watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yombayomba, Jan 21, 2012.

 1. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hebu tazameni hii picha ya hawa waheshimiwa wanatembelea miradi kijijini na kukutana na wanavijiji, hivi kweli hawana nguo zinazoendana na hali halisi ya mazingira wanayoenda kutembelea? natumaini juzi mliona picha ya ma seneta wa marekani walivyovaa walipoenda kukagua miradi inayofadhiliwa na nchi yao, walivaa kutokana na mazingira wanayokwenda, yaani wanavaa kama wanaenda kula bata majengoni? Hii ni kuonyesha hawako karibu na jamii wanayoiwakilisha.
   

  Attached Files:

 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
 3. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,866
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Naona akina mama wametinga na vazi la maxi, na kama itabidi waingie kwenye majaruba ya mpunga au mazizi ya ngombe itakuwa kazi kwelikweli. Huyo wa mwanamme aliyeko mkono wa kulia naona ni kada wa CHADEMA, magwanda kwa kwenda mbele, au ni macho yangu???
   
Loading...