NCCR yakosa watu; yaahirisha maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NCCR yakosa watu; yaahirisha maandamano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malunde-Malundi, Jan 21, 2012.

 1. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Visingizio vya kuahirisha vingi sana kama vilivyoelezwa ktk radio lakini watu wazima akili mkichwa; mlikuwa mnapima upepo wa siasa zetu; kama wewe boga basi wewe boga huwezi kuitwa jiwe.
   
 2. L

  Libaba Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ukweli ndo huo kuwa hiki chama hakina mvuto na kinaelekea kufa mara ya pili Kafulila kaondoka nacho.Mkosamali anza kujipanga kuondoka NCCR kama unataka kurud 2015
   
 3. babad

  babad Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah!! kumbe ndo sababu!! Ndo maana wanataka kwenda ikulu kupata kashata na kahawa.Wameishiwa vibayaaaaaaaa
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  waliyataka wenyewe
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Maandamano hayawezi kuwasaidia wajifunze kutoka kwa Chadema kama yamewasaidia.
   
 6. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kama sikuelewi vile ...... mtoa mada umeeleza zaidi hisia zako as if wote tunajua kuhusiana na maandamano yenu uwe balanced eleza vizuri
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  na uwezo wa kukodisha watu hawana,
   
 8. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  :llama:Jamani wamepata barua toka ikulu.Siku wakienda kukutana na Rais wataongelea suala la kupanda malipo ya umeme na katiba pia itajadiliwa..Wajue hoja za kuonana na Rais zilianzishwa na Chama kinachowapeleka jambajamba mafisadi wa wasio na uchungu na nchi hii.KAFU wamefuata mkumbo na Hamad R aliyekuwa kimbelembele bungeni kukandya Chadema na kukisifia kafu kaukalia:lol:..Alienda ikulu:behindsofa: Pai..Jamani sikio la kufa halisikii Daw:alien:a..Chadema ndicho chenye masimamo na watu wanaelewa.Hivi NCCR wakiandama, Polisi watakaa vikao kujadili ulinzi kweli:hat:??? maana watu wenyewe wanne[​IMG].mh...nipisheni nipite[​IMG]
   
 9. L

  Lsk Senior Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...hivi NCCR bado kipo eeeh!!
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  hivi yule katibu wa nccr anaevaa mkufu mkubwa anaitwaje vile
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Maandamano yanasaidia, pia hata CDM yametusaidia sana but cha kujifunza hawa NCCR ni kwamba maandamano yoyote yale yanahitaji influence kwa umma, sasa wenyewe NCCR hawana tena influence kwa umma bkoz kafulila kashaondoka nayo.
   
 12. juma sal

  juma sal Senior Member

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kafulilla jembe.......................mwambieni machalli
  'ameona umuhimu wa kafulila?" hakuna nccr bila kafulila
   
 13. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,393
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  ngoja tusubirie tuone

  vipi kwani imekuwaje wakaahirisha maandamano, me sijasikiliza radio wala kuona tv siku ya tatu sasa naomba mnijuze.
   
 14. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kifo cha mende
   
 15. sterling

  sterling Senior Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hiyo ndo hasara za kukurupukia mambo, kwa hakika viongozi wa NCCR walikurupuka kuleta hoja ya maandamano........
  lakini hii inatokana na tabia ya vyama vyetu vya siasa kuigaiga mambo, kama unataka kupata political influence basi njoo na kitu kipya na sio kitu kilichofanywa na vyama vingine... kama unabisha angalia fukuza ya CUF na NCCR inavyowacost na reaction wanayoipata toka kwa wanachama wao,,,,, vyama vyetu vya upinzania kama vina nia ya kweli ya kwenda ikulu basi vijipange upya na kuja na sera mbadala na si kukurupukia vitu tuuuu...
   
 16. MANI

  MANI Platinum Member

  #16
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Kama chama mzee !
   
 17. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #17
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  naam! na kuwapikia ubwabwa au mchele, teh teh teh!
   
 18. K

  KASUKU BUBU Member

  #18
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
   
 19. K

  KASUKU BUBU Member

  #19
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania wana akili timamu, NCCR ni CCM- C baada ya CUF kuwa CCM-B.
   
Loading...