Siri zaidi: Kesi dhidi ya balozi Mahalu - Wapishi wa zengwe hawa hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri zaidi: Kesi dhidi ya balozi Mahalu - Wapishi wa zengwe hawa hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WhoToldU, May 9, 2011.

 1. W

  WhoToldU Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapishi wa zengwe ni pamoja na hawa hapa:

  1: Grace Abdiel Shangali - Kwa kutegemea atawekewa kifua ili auziwe nyumba ya serikali, huyu ame-facilitate upishi wa Zengwe kwa kushirikiana na jamaa hawa hapa chini. Sasa hivi yupo MFAIC, acting Director wa Idara moja hapa. Amengoja sana apewe Ubalozi. Mzembe sana huyu. Email box zake zimesheheni nyaraka za Serikali

  2: Adolf Mchemwa - Huyu alifanya madudu yake Ubalozini pale Rome na akarudishwa nyumbani kabla ya kupangiwa kituo kingine. Amebeba donge hadi leo hii

  3: Cristopher Matias Martin Mushi - Huyu anajulikana kama Tatu Kichwa au Twin Towers according to Grace Shangali (size ya kichwa chake??). Pamoja na kuwa resident wa Italy, jamaa anaonekana sana Leopard Hotel, Moshi. Kwa wasiomjua, anjitambulisha pia kama afisa usalama. Ametumika sana na TAKUKURU kwenye upishi wa Zengwe lenyewe. Mkibosho mwenzake kwa jina la Chami (nduguye aliyewahi kuwa Waziri mdogo, MFAIC, ndiye anayedaiwa na TAKUKURU kutoa taarifa aliyosikia redioni kuhusu Jengo husika. Chami huyu ni mfanyakazi wa TAKUKURU.

  4: et al, pamoja na recipient wa Email za Shangali aleyetegemewa kumsaidia Grace Shangali kupata jumba la dezo serikalini.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah Bongo bana
   
 3. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila nikiifikiria JF najiona mimi ni mdogo kama punje ya hadarati.

  hapa mimi najisomea tu. sichangii kitu.
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Duuh! Thanks mkuu ngoja nitazidownload attachment nione kilichome.
   
 5. Mzalendo

  Mzalendo Senior Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Brother Hoseah kama msukuma najua sie tunajiamini sana na ushauri nitakakupa ujue nikutoka moyoni,
  JIUZULU MKUBWA!!!!!
   
 6. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,088
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  sijaona majungu yoyoyete may be ulete evidence zaidi.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Du..
  Mbona ni mambo ya ndani sana haya!...tumeyaokota wapi!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  dah!! Ngoja nitulie kwanza!
   
 9. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  yaani huo ndiyo ushauri unaompa au tuendelee kusubiri?

  anyways...........nimependa signature yako
   
 10. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ... Marco Papi - shahidi ( mwanae Vicenzo Papi naye alilipiwa na nani kuja na baba yake Kisutu)
  ... e-mail marked (v)
  ... e-mail marked (viii)
  ... e-mail marked (ix) ... nani mfupi na nani associate? rejea Mwanahalisi last week.

  Bongo bana!!
   
 11. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,520
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Mh mie cmo
   
 12. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hii kesi ina miaka 5 pale Kisutu, huu ushahidi unaoletwa leo utamsaidia? au ndio yale ya kuvuana magamba wengine wameamua kumwaga ugali na mboga!
   
 13. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  dah! Safi sana kwa kutumwagia hizi wikileak sie tusiojua kitu
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Mwaga mboga nimwage ugali style (MMNU-style)
   
 15. B

  Batale JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,070
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Maisha bora kwa kila Matanzania.
   
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wakuu sijaona connection ya hizi document

  kama ziko forged vile mfano mzuri ni appearance ya email za sender na receiver, mara nyingi ukusend email zinakuwa na alama ya <> na sio ( )

  Bado sijaamini hizi documaaa
   
 17. W

  WhoToldU Member

  #17
  May 9, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  kama hajabadilisha leo hii: fungua nkasinde@yahoo.com na nkasinde@hotmail.com
  password: REMOVED BY ADMINISTRATORS (this' not fair)

  muulize naye mwenyewe akanushe
   
 18. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Prof. Mahalu atawashinda ,kama si duniani basi mbinguni
   
 19. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  huyo hosea si ndio yule wa **** KUUU? Sasa kama jina lake lina onekana kwenye ma isue kama haya ivi kweli tunampambanaji wa rushwa? Mie huwa ninapoona kesi hizi nashindwa kuelewa kwanini mahakama hazipo tanzania.
   
 20. C

  Campana JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naona utekelezaji wa agizo la Rais pale Dodoma leo ktk kufungua semina elekezi umeanza - kwamba wawasiliane nasi wananchi kuzuia upotoshaji wa mazuri yao.

  Sisi tuko tayari kuyajua yaliyo chini ya kapeti, waendelee tu
   
Loading...