Swali kwa kaka Zitto na Dr. Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa kaka Zitto na Dr. Slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sr. Magdalena, Jan 20, 2012.

 1. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Heshima zenu wakuu,

  Poleni sana na msiba wa dada yetu na rafiki yetu Regia, mwenyezi Mungu awape faraja na nguvu ya kurudi kwenye majukumu yenu ya kila siku, amen.

  Nina maswali mawili kwenu na ningeomba majibu kutoka kwa kila mmoja wenu na kwa kina, ningeweza kuwatumia PM lakini nimeona ni bora mkayatoa hapa barazani ili kila mtu ajue msimamo, mawazo na maoni yenu, Zitto kama kiongozi kijana na Dr. Slaa kama kiongozi mtu mzima.

  1. Nini maoni, mtizamo na msimamo wako juu ya ongezeko la bei ya umeme?

  2. Nini maoni, mtizamo na msimamo wako juu ya vazi la taifa?

  Natanguliza shukrani.

  Sr. Magdalena
   
 2. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hilo la bei ya umeme wameshalitolea msimamo;wameipinga kwa madai kwamba itaongeza gharama za maisha
   
 3. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Bahati mbaya sikupata bahati ya kusoma msimamo na mawazo yao juu ya hili, lakini nadhani haita wakwaza kutupasha japo kwa kifupi juu ya hili la ongezeko la bei ya umeme, na vazi la taifa pia.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,779
  Trophy Points: 280
  kwa nini uwaulize wote kwa pamoja ,,ungeuliza mmoja tu ..
   
 5. H

  Haki sawa JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 4,701
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Kuhusu zitto tembelea www.zittokabwe.com utaona kaandika nini kuhusu umeme na mfumko wa bei kwa ujumla wake .
   
 6. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Saint, heshima mbele kaka.

  Nadhani hapo hata kama mmoja akiwa yuko busy na mambo mengine basi mmoja anaweza kutupa mchango wake, lakini tukipata michango ya wote ingekuwa vizuri zaidi.

  Naamini kama wote wakiingia humu jukwaani watachangia wote.
   
 7. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kasome ilani ya chadema 2010 utapata majibu yako ya umeme, unavyoonekana mzembe utasema hata ilani haujui pa kuiona, uende kwenye web ya chadema utaikuta.Hilo vazi nawaachia wenyewe
   
 8. F

  FOEL Senior Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bado inafanya kazi?.
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Napata tabu sana kuamini kama wewe ni great thinker kutokana na maswali yako yalivyo na namna Dr Slaa na Zitto wanavyotambulika katika jamii kwa hoja/ philosophy zao kuhusu serikali hii .
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  3. Nini msimamo wako kuhusu posho za vikao kwa wabunge?
   
 11. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kuhusu umeme Cdm wameshapinga, suala vazi haya ni mambo ya Gambas
   
 12. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ngoja tusubiri, huenda wakaja na majibu.
   
 13. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  maswali kama haya yameshajibiwa sana,lete mapya.
   
 14. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo vazi litakuwa linavaliwa wapi, wakati wa mwenge nini?
   
 15. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  jamani tuulize maswali ya msingi chadema imeshatoa msimamo wao juu ya swala la umeme hata hapa jf uliwekwa pia ila labda ungemuuliza shibuda mtazamo wake juu ya umeme ungekuwa tofauti lakini co kwa dr slaa au zitto
   
 16. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Vazi la taifa tayari chadema wanalo, ni magwanda; nchi ipo vitani kupambana na mafisadi; baada ya hapo ndio nchi ikae chini kufikiria batiki na vitenge;
   
 17. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #17
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mtu anapoouliza sio ujinga. Si kila kinachowekwa humu watu wanapata nafasi ya kukiona. Pengine hakuona na kusoma misimamo hiyo. Kawauliza Zitto na Dr Slaa. Tusubiri, wao ndiyo watakaoamua kumjibu au la. Kiherehere cha ni kuwajibia watu maswali? Wakijitokeza na kujibu je?
   
 18. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  haaa ! kweli ????
   
 19. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nini msimamo wako kuhusu kupanda kwa gharama za maisha?
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Kuhusu vazi la taifa swali hili lingemfaa sana SOFIA SIMBA
   
Loading...