Updates ibada ya kumuaga Mh J Sumari msasani Dar

Idadi ya waumini waliojitokeza sio wengi kama ilivyodhaniwa, wengi ni wazee tu vijana wachache mno. Kanisa lina kama watu 500 hivi wengi wakiwa ni ndugu tu.

Mh Sumari alishawahi kumwambia Dr Slaa akae kimya kama hana hoja zaidi ya ile ya ufisadi wa EPA. Nadhani hilo limesababisha watu kumuona Sumari kama fisadi wa saizi ya kati.

Pangu Pakavu.
 
Asante sana mkuu, ila umeniacha hapo kwa manywele ndiyo nani huyo? Harafu Karimjee ni saa ngapi? Nahitaji kwenda ila sijajua muda.
 
Manywele ni mamvi yaani Edo, nadhani tuko pamoja. Karimjee ni muda mfupi kutoka sasa kwani kwa idadi ndogo ya watu waliopo hapa shughuli ya kuaga hapa naona imekwisha, imechukuwa kama dk 45 tu.

Asante sana mkuu, ila umeniacha hapo kwa manywele ndiyo nani huyo? Harafu Karimjee ni saa ngapi? Nahitaji kwenda ila sijajua muda.
 
mimi siendi sitaki kuongeza idadi ya waombolezaji, maana sina chochote kinachonigusa na msiba huu
 
Kimei ashindwa kutoa salam, ajawa na sauti yenye simanzi, machozi yamtoka.
Spika agoma kutoa salam, protokali haiguzingatiwa.
Manywele kama kawaida front desk, leo yuko beneti na makinda utadhani mkewe.
Jamani acheni ngonjera kwenye msiba! kwanini hivo?
 
Asante kwa update!.
Nakuomba please be fair kwenye update don't add insult to un injury!. Tumefiwa usituongezee machungu!
 
Kumezuka jingine, mchungaji ameita kwaya waje kuimba wimbo alioupenda sana, sijui ni lini walimhoji hilo maana hata ndombolo alikuwa anazipenda sana.

Namuona kwa mbali CAG Ludovick Utouh, pia naona Dk Kimei kapata ahueni sasa, kachangamka kidogo, nadhani jinsi muda unavyoenda ndio hangover inaishaisha, maana jamaa chapombe sana.
 
Idadi ya waumini waliojitokeza sio wengi kama ilivyodhaniwa, wengi ni wazee tu vijana wachache mno. Kanisa lina kama watu 500 hivi wengi wakiwa ni ndugu tu. Mh Sumari alishawahi kumwambia Dr Slaa akae kimya kama hana hoja zaidi ya ile ya ufisadi wa EPA. Nadhani hilo limesababisha watu kumuona Sumari kama fisadi wa saizi ya kati.

Pangu Pakavu.

Kwenye red, inawezekana wakati anamwambia hivyo Dr.Slaa, alishaanza kuathirika ubongo. maana hiyo kauli si utamaduni wa Sumari
Sijui Nancy anafeel vipi na msiba huu.
 
Kumezuka jingine, mchungaji ameita kwaya waje kuimba wimbo alioupenda sana, sijui ni lini walimhoji hilo maana hata ndombolo alikuwa anazipenda sana. Namuona kwa mbali CAG Ludovick Utouh, pia naona Dk Kimei kapata ahueni sasa, kachangamka kidogo, nadhani jinsi muda unavyoenda ndio hangover inaishaisha, maana jamaa chapombe sana.

nilitaka kushangaa, huyo kimei ajifanye anasikitika sana leo wakati msiba unasiku tatu sasa, kumbe ni mipombe yake
 
Kumezuka jingine, mchungaji ameita kwaya waje kuimba wimbo alioupenda sana, sijui ni lini walimhoji hilo maana hata ndombolo alikuwa anazipenda sana. Namuona kwa mbali CAG Ludovick Utouh, pia naona Dk Kimei kapata ahueni sasa, kachangamka kidogo, nadhani jinsi muda unavyoenda ndio hangover inaishaisha, maana jamaa chapombe sana.
Ni kanisa gani mkuu mbona sisikii hata matarumbeta? wanazikia dsm nini?
 
Kwenye red, inawezekana wakati anamwambia hivyo Dr.Slaa, alishaanza kuathirika ubongo. maana hiyo kauli si utamaduni wa Sumari
Sijui Nancy anafeel vipi na msiba huu.

hivi huyu ni baba wa Nancy mwanamziki?, sidhani au nancy mwingine?
 
Kipi nimeadd, kwani Kimei sio mlevi, halafu kusema watu hakuna ndio nimekosea? Wana JF labda niwape picha ya hili kanisa, lina urefu wa mita 60 na upana wa mita 30 hivi. Halafu juu kuna mafasi yenye uwezo wa kubeba watu 500 na zaidi, ila juu hakuna hata popo, ni vumbi tu, huku chini viti kibao havikujaa. Sasa kibaya nini hapo? Kufiwa tumefiwa ila ni lazima tuwajuze watu hali halisi.

Kama mtu ana hangover zake plz aende kunywa supu.

Asante kwa update!.
Nakuomba please be fair kwenye update don't add insult to un injury!. Tumefiwa usituongezee machungu!
 
mimi siendi sitaki kuongeza idadi ya waombolezaji, maana sina chochote kinachonigusa na msiba huu

Mzee wa mikungu ya ndizi nadhani umeona hawa CHADEMA wanavyokosa ushirikiano? Kwanza tujuze kama wapo hapo na niakina nani maana wanaonekana kusahau juzi tu wenzao CCM walivyoshiriki kikamilifu katika msiba wa REGIA MTEMA.

RIP Jeremiah Sumari.
 
Back
Top Bottom