Nashangaa kura hizi tunazipataje

rushanju

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
3,130
4,619
Mimi ni mwana CCM damu na najua hili litawakela wengi ndani ya jamvi. Mara nyingi nimekuwa nikufuatilia sana masuala ya vyombo vya habari vyote bila kuacha hat ahii forum. lkn kila nilkisia kuhusu Habari inayotuhusu (CCM) huwa respond ya watu huwa ni kutusagia na mara zote huwa ni mwelekeo hasi kuhusu chama chetu. Mfano nikiangalia thread nyingi humu ndani weng mnatusagia tu kwenye Tv nisiseme. Mgazeti hayo ndo kabisa labda machache ambayo mengine ni yetu au ni watu wetu. Sasa nashangaa wakati wa uchaguzi tunatoka kwa KISHINDO sijajua inakuaje. Sehemu za jamii ndo kabsaa. Angalia vyuuo vikuu, Madaktari na mashule ya sekondari kote huko ni kilio tu. Ingawa kwa sasa naona tunaanza kujipanga na sina wasiwasi na ushindi wetu uchaguzi ujao.
 
Unashangaa nini wakati TIS, polisi, jeshi, mahakama, tume ya uchaguzi vyote vyenu.
Na zile khanga, fulana, kofia na mahindi mnayogawa wakati wa uchaguzi ndio kura zinakotoka huko.

Bahati mbaya sana wadanganyika hata wa vijijini wameanza kuwashitukia.

Huko kujipanga mmechelewa, hili dudu linaloitwa CCM kwishney!
 
Wewe Rushanju acha kujichafua kwa kudai kwamba wewe ni mwana CCM damu damu! Kama kweli wewe ni CCM basi utakuwa umechanganyikiwa kwa maana hata wewe mwenyewe unaona madhara hasi nyingi sana za CCM kuliko faida na hata wewe unakiri kuwa CCM imekosa muelekeo! Utafakari na uchukue hatua.
 
Back
Top Bottom