JK futa uraia wa Dr Slaa, Mbowe, Zitto, Mnyika, Lema, Pengo na Shivji ili Taifa litawalike! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK futa uraia wa Dr Slaa, Mbowe, Zitto, Mnyika, Lema, Pengo na Shivji ili Taifa litawalike!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Godwine, Dec 26, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

  Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

  baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi sasa hivi dunia ilivyo kama Kijiji ni vigumu sana akatawala kwa kuwepeleka Slaa, Mbowe na Shivji uhamishoni! Mfano mzuri ni yeye mwenyewe akiwa safarini Ugaibuni huwa anaongoza Nchi kwa kutumia simu!
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Pole sana ndugu yangu ila umepotea. Kwa kufanya hilo unalotaka, unampa JK kibali cha kuwa dikteta, mpja ya mambo ambayo watz wanataka kuyapunguza kwenye katiba mpya.

  Kuna watu ambao JK akiwafuta uraia/au kuwamaliza nchi hii itatawalika. Hao uliowataja hapo juu wanapiga kelele kwa ajili ya mambo yanayoletwa na hao watu ambayo nimesema JK awamalize.

  Na yeye mwenyewe JK anawajua fika.

  Ila hao uliowataja, umepotea kabisa.
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mtu mwenye ugonjwa wa zinaa kama CCM kamwe hatokaa apone eti kwa kujichagulia 'kukata kidudu' kwani zinaa yake haiko katika eneo hilo tu isipokua mwili mzima. Hivyo kama hawezi kuchukua hatua za haraka kutafuta tiba ya tatizo lenyewe basi ni bora kajiondoa mzima mzima badala ya kijisehemu cha mwili ru.
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  awafutie uraia kivipi?kwani babake ni mmiliki wa hii nchi?
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  utaenda kwa babu loliondo kupata kikombe labda kitasaidia..
   
 7. k

  king11 JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani akina mokiwa na pengo na malasusa asiwafukuze bali aweke kodi kubwa kwenye makanisa yao watanyamaza tu
   
 8. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja kwa -100%
   
 9. k

  king11 JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  rais anayo mamlaka ya kumwondoa mtu ndani ya nchi kwasababu za usalama wa nchi. kama ikionekana mtu huyo anahatarisha usalama wa taifa
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,818
  Likes Received: 83,217
  Trophy Points: 280
  ....Usalama wa nchi unahatarishwa zaidi na Kikwete kuliko unavyohatarishwa na Mbowe, Slaa, Zitto, Lema, Shivji, Mnyika, Pengo na hao wengine uliowataja.
   
 11. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kumbe haitawaliki?
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Tehe tehe tehe: You have reminded me of the Professor of Politics: Daniel Arap Moi
   
 13. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Awapeleke wapi?
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hii krismas naona imeharibu kabisa wengine kama Godwine.... huko nyuma haukua hivyo kabisa aisee, sijui kwanini umeharibika ghafla namna hii:hat:
   
 15. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  What a stupd thinking!? Hao watu sio raia kwa kununua, kupewa au kuamua. Ni wazaliwa wa nchi hii, hence raia! Hakuna anayeweza kuwafutia.

  Nyerere hakumfukuza Kambona ila aliondoka mwenyewe baada ya tofauti zao kuwa kubwa. Na hiyo haikumfutia uraia wake. The same to Babu. Uraia wa mtu haufutiki kwa mtu tu au raisi kusema au kuamua.

  Ni yeye mwenyewe kuukana uraia wake jambo ambalo sidhan kama watajwa hapo juu waliwahi kufikiri. Jk hawezi kutawala watz maana hawakumchagua. Atatawala kwa tabu hadi mwisho wake maana sina uhakika kama atamaliza kipindi chake! Hana ridhaa ya wananchi ndio maana hata wanaomlinda ni wale "waliomchagua!"
   
 16. G

  Godwine JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kikwete anahatarisha vipi usalama wa Taifa wakati yeye ndiyo namba moja katika kulinda usalama wa nchi?
   
 17. G

  Godwine JF-Expert Member

  #17
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwani watanzania walimchagua nani mkuu?, mbona tume ya uchaguzi ilimtangaza na jaji akamuhapisha kwa kufuata sheria zote, mimi sikuelewi labda ufafanue zaidi
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Huu uhuru wa kila mtu kusema mawazo yake unasababisha wengine wafikirie kwa mfumo wa anticlockwise wakati wengine wanakwenda kwa mfumo wa clockwise!

  Bila shaka haya ni matokeo ya pilau la krismasi. Kheri ya krismas godwin!
   
 19. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #19
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160


  Kwani wewe ulimchagua JK!?
   
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  Dec 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145

  Kuchaguliwa ni kitu kimoja,
  Kutangazwa na tume na kisha kuapishwa ni kitkingine.

  Unadhani NEC inaweza kuthibitisha ushindi wa JK with concrete evidence!?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...