Jamani kesho chadema watamvumbua atakaegombea Uzini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kesho chadema watamvumbua atakaegombea Uzini

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Neema William, Jan 21, 2012.

 1. N

  Neema William Senior Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kazi badoo kubwa ndugu zangu wa chadema, kamati kuu inayokaa kesho jijini Dar tungependa iwatoe kina mnyika wa pili, zito wa pili, wenje wa pili, hakuna kulala, si mnajua siasa za Zanzibar? One Mistakes One Golllll, Kwani Cuf bado wana hasira na ninyi mlivyowagalagala Igunga, ombi kwa kamati kuuu Beeeee Carefull
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  jimbo gani lipo wazi huko enji? si nasikia hamad karuhusiwa kuhudhuria vikao?
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Jimbo la Uzini Mkuu
   
 4. zululima

  zululima Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  liliachwa marehem silima aliyefariki ktk ajali
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  sijawahi kusikia jina la uzini, ok. CDM wajipange tukachukue jimbo zenji.
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,653
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  ...hahahaaa!!!
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,522
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  CCM wamemuweka gamba Raza baada ya kuwa keshagawa vitu kibao
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  I love Tanganyika.
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,417
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  ni kiti cha Uwakilishi, jimbo la Uzini.
   
 10. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hilo litakuwa la pili ukijumlisha na lile la kusini pemba walilotunyima nec.
   
 11. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Makamu mwenyekiti wa chadema zanzibar nadhani ana ushawishi mkubwa huko.
   
 12. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Even me i love too Tanganyika.
   
Loading...