Could Tanzania Be The Next Rare Earths Frontier? There is a new firm operating on the Ngualla area | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Could Tanzania Be The Next Rare Earths Frontier? There is a new firm operating on the Ngualla area

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jan 20, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  By Esther Tanquintic-Misa| January 20, 2012 5:35 PM EST

  Eastern African nation Tanzania could well perhaps be the next frontier of rare earth elements as it waits on the formal announcement of a mining exploration firm currently operating on the Ngualla Rare Earth Project in the southern part of the country.

  [​IMG]

  View Full Image


  commons.wikimedia.org

  Known for its wildlife, beaches, lodges, and islands, Tanzania is recognized as one of the world's poorest economies in terms of per capita income. But because of strong gold production and tourism, its average gross domestic product (GDP) growth per year from 2000 to 2008 registered at 7 per cent, according to the factbook of the US Central Intelligence Agency. Tanzania's economy relies heavily on agriculture, comprising more than 40 per cent of GDP, provides 85 per cent of exports, and employs 80 per cent of the work force. GDP growth during 2009-10 registered at 6 per cent per annum due to high gold prices and increased production.
  "Peak Resources has received further assays from recent drilling at the Ngualla Rare Earth Project, which show broad intersections of rare earth oxides (REO) including 100 metres at 3.65 per cent from surface including 66 metres at 4.39 per cent," the company had said in a statement.

  Further results continue to show that the extensive Rare Earth Oxide niobium-tantalum and phosphate from the Ngualla Project are one of the largest and better grade discoveries made recently. It was discovered its mineralization is found from the surface and extends over a large area, from north to south, giving the entire project a huge potential, as well as billions to Tanzania's coffers.

  Known for its wildlife, beaches, lodges, and islands, Tanzania is recognized as one of the world's poorest economies in terms of per capita income. But because of strong gold production and tourism, its average gross domestic product (
  GDP) growth per year from 2000 to 2008 registered at 7 per cent, according to the factbook of the US Central Intelligence Agency. Tanzania's economy relies heavily on agriculture, comprising more than 40 per cent of GDP, provides 85 per cent of exports, and employs 80 per cent of the work force. GDP growth during 2009-10 registered at 6 per cent per annum due to high gold prices and increased production.


  Peak Resources said the mineralisation at the Ngualla Rare Earth Project is similar to Lynas Corporation's Mt Weld project in Western Australia, a rare earth enrichment contained in the deeply weathered regolith profile of a large carbonatite.


   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Leaders don't wait. They shape their own frontiers. The bigger the challenge, the greater the opportunity.

  Where is our leaders on this? are they as always waiting until the investors are here to tell them what rare Mine we have? this is the 3rd one... and foreigners already have eyes on it... remember it is only Chinese who have RARE MINES mined right now; Japanese find them but they are deep @ the bottom of the Sea which is hard and difficult to Mine... in Tanzania all 3 mines are on the Land of Tanganyika...
   
 3. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Japan na Korea ya kusini wana kitu gani cha asili??. Hauwezi kuendelea kwa kumtegemea mungu pekee!. USA wame kuja technologia ambao hata hapa tunaitumia na kulipa pesa nyingi tu na technologia haitaisha.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  sijui kwa nini Tanzania ni maskini.-jakaya kikwete
   
 5. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ebu wacha kutetea vitu ambavyo ni wazi vimekaa vibaya; hata yeye mwenyewe anajuta kutoa matamshi ya kuashiria hata yeye hajui kwanini Tanzania maskini, na wasaidizi wake wanaweka wazi hilo. Akiuliza hivyo kwa nafasi yake, je maskini wasiojua dunia inazunguka kushoto kulia au kulia kushoto waelewe nini? aliteleza, ndio maana hajarudia tena na badala yake kila akipata nafasi anaelezea kwanini tanzania maskini huku akiweka mikakati tujikwamue vipi. Huo ndio uongozi.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  Mama hilo swali watu wameshalijibu mara nyingi na tatizo linaanzia kwenye uongozi ,viongozi wetu hawapo responsible na hawataki kuwajibika. wewe kwa akili ya kawaida tu nchi ya Tanzania haitakiwi iwe na mgao wa umeme. lakini huu mgao upo na umeletwa na viongozi wa ccm. Mwangalie Ngeleja bunge lote na wabunge wa ccm wamemtaka ajiuzulu lakini kagoma yupo tu pale kwa sababu anaangalia tumbo lake kama viongozi wengi wa Tanzania wanavyofanya. Reli ya kati..kuna sababu gani ya reli ya kati kufa? inakufa kwa sababu ya uzembe mvua ikinyesha kidogo tu treni haifanyi kazi unataka kuniambia kuwa huu sio uzembe? na haifanyi kazi kwa sababu kuna wabwana wakubwa wana mabasi yao na magari yao ya mizigo wanataka ku make.
   
 7. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Haya tuone na hii itatuletea nini! katika maendeleo ya nchi!!
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Bibie,
  Unazungumzia fursa zipi? Fursa za wanafunzi wa chuo kikuu wanaomaliza masomo na 85% wanakosa ajira? Fursa za madini yetu kuhamishiwa nje kwa bure kwa sababu tu Sinclair alimfadhili Ridhwani alipokuwa mwanafunzi Marekani? Fursa za bei ya mchele kupanda kutoka shilingi alfu moja kwa kilo hadi alfu mbili na ushee? Fursa za kugawa ardhi yetu kwa makampuni ya kigeni yajilimie na kuvuna na kuuza kwenye soko la nje na kuweka faida kibindoni huku Watanzania wakiwa watazamaji katika nchi yao wenyewe?
  Fursa ya mgao wa umeme ambao hatujui unamalizika lini? Ni fursa gani unazozizungumzie wewe kibibi?
   
 9. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hizo fursa kwanini zinaendana sambamba na ukosefu wa ajira kwa vijana ambao Lowassa alianza kusema ni timing bomb, na kikwete kurudia baadae kauli hiyo hiyo? Tusaidie na ufafanuzi kuhusu hili.
   
 10. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni kuwa hata Tanzanite inapatika Tanzania lakini biashara ya tanzanite imeshikiliwa nia sehemu nyingine ya dunia kama India na thailand. Why. what shoud we do tupate share kubwa zadi ya faida ya madini yetu. Inasshangaza Mjerumani au marekani anaptaa Tanzanie anasafiri kwenda au anapata kampuni maarfu za Tanzanite ziko India au Southa africa na sio Tanzania.....


  Viongozi wetu wana challenge kubwa sana. KUna balozi wa norwaya lishasema kuw akasi ya uvubuzi wa madini Tanzania bila viongzi makini italeta vita. Mwananchi anaona kuna mgodi mkubw awa dhahabu lakini kupata maji ya kunjwa bad inabidi atembee kkimota tano..... mhhhhh
   
 11. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,187
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyu ff kama anaamini kuwa kuwa fursa zipo ila watu hawazioni, nao ni ubatili mtupu, kama kweli fursa zipo na hatuzion basi basi inambidi huyo mtengeneza fursa aende hatua nyingine ya kuwafanya hao vipofu wa fursa wafunguke macho ya kuziona na kuzitumia hizo fursa kinyume na hapo ni sawa na kufunga dhahabu kwenye pua ya nguruwe!
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Kweli ngoja tuchangamkie fursa kama anavyosema FF wakati wakubwa wanajinufaisha na hizo rare resources.
  Wajinga ndio waliwao.
   
 13. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa...ili tuendelee tunahitaji 1. watu 2. ardhi 3. siasa safi 4. uongozi bora. tusichokuwa nacho ni uongozi bora. ndio maana hata siasa iwe nzuri kiasi gani kwa kuwa na bora viongozi hatuwezi kufanya chochote. ardhi inazidi kutema fanaka, lkn nafaka hizi kwa kukosa uongozi bora haziwasaidii watu husika nba tunazidi kuw amasikini... kwa vile uongozi ndio tatizo,si ajabu kwa kiongozi kukiri kuwa hajui kwa nini sisi ni masikini, kwa vile hajijui kuwa yeye si kiongozi bora na hapo ndipo lilipo tatizo letu kuu...UONGOZI BORA hakuna

   
 14. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Anaungana na Sumaye,ambaye alijua hayo baada ya kupata digrii yake.Katika miaka yote 10 ya uwaziri wake hakuwa na picha.
  Nafikiri tatizo kubwa ni jinsi ya viongozi wetu kutuunganisha na kutufanya tutumie mali asili zetu kijikomboa.http://www.chadema.or.tz/makala/makala.php?id=108
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  ok mama uongozi sio tatizo kivipi? unataka kunipiga chenga ya mwili hivi hivi. ok let say nina duka langu nauza samaki na ngeleja kakata umeme..itabidi mimi ninunue mafuta ili samaki(shehena ) yangu isiharibike ..sasa hapa serikali inaniingiza gharama zinazoweza kuzuilika . unafikiri mimi nitaendelea tena? think mama
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  sserikalai haiwezikukwepa hizi zlawama za Tanzania kuwa maskini.
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
   
Loading...