Je hii kauli ya "2015 ni zamu ya Wazanzibar" ina mkono wa JK? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hii kauli ya "2015 ni zamu ya Wazanzibar" ina mkono wa JK?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MNYISANZU, Jan 13, 2012.

 1. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wakuu hivi kuna nini kilicho nyuma ya pazia kuhusu kauli hii?
   
 2. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Haina mkono wa mtu bali ndio hali halisi wabara tuache kujipenda kupita kiasi,huu ni muungano wa nchi mbili wenzetu wametuvumilia mara mbili,kwa mkapa na kwa huyu kikwete tuwe waungwana this time na wao wakikalie iko kiti then kitarudi bara tena tatizo liko wapi...
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni kauli ya OIC, nchi ya kiislam lazima iwe na rais mwislam. siyo zamu hii tu bali na ingine na ingine na ingineeeeeeee........... isipowezekana basi lazima vita kudai maslahi ya waislam. alshaababi oye!!!, bokoharam oyeee!!!!!!
   
 4. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  upotoshaji jazz band...........
   
 5. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kuna tatizo moja hapa, imeanza kujitokeza hali ya "Watanganyika" kutotaka kutawaliwa na Wazanzibari. Kuna Sababu nyingi me naitasema chache ninazoziona.

  1. Kuna uzalendo wa "Kitanganyika" wa wazi wazi ulioanza kujionyesha.

  2. Katiba mpya ya Znz na madaraka makubwa waliyompa Rais wao. Kwa "Tanganyika" sasa hivi tofauti kati ya Rwanda na Zanzibar ni Ndogo sana. Muungano umekuwa irrelevant.

  3. Kauli na matusi kutoka Visiwani. Kila mtu kutoka visiwani analalamika kuhusu muungano, mara tunawanyonya, mara tumerudisha nyuma, Zanz ilikuwa better than Tanganyika etc etc. Watatuongozaje watu wa aina hii? Watu wa aina ya Jussa wakiteuliwa kutoka ZNZ waje kuniongoza mimi! Never..

  4....

  5....
   
 6. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Wanaandaa dr shein or karume or nahodha kushika nchi.
   
 7. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ukweli katika kauli hii ni kwamba kwa sasa watanganyika wameshafahamu wazi kuwa walipaswa kuwa na nchi yao (Tanganyika) kwa hiyo kuwa na rais ambaye si mzawa wa nchi hiyo kwa sasa litakuwa jambo gumu sana.
   
 8. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  magamba wakilogwa wakajaribu hilo li
  tawakuta la mzee moi.
   
 9. W

  WildCard JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Katiba ya Zanzibar inasema hii ni NCHI na mipaka yake imeainishwa mle. Sio rahisi raia wa nchi nyingine kuvuka mipaka ya nchi yake kwenda kutawala kungine. Jana pale Amani kulikuwa na bendera zaidi ya nne zikipepea na JMK wetu na wabara wengine walionekana ni waalikwa kutoka nchi nyingine!
   
 10. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  hii hali ya watanganyika kutotaka kutawaliwa na wazenj imeanza baada ya sisi wabara kuwatawala jamaa kwa awamu mbili mfululizo au?
   
 11. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  nyie mnataka kuleta ujanja tu ili mkalie hiki kiti kwa mara ya tatu mfululizo kwani hayo hamkuyajua mlipokuwa mnaingia kwenye muungano,mbona kila wakidai haki sawa ndio mnakuja na hoja hizo? Kwanini ?HALI ILIYOKUWAEPO PALE AMAN JANA IMEKUWA HIVYO FOR YEARS HAIJAANZA JANA BAADA YA WAZANZIBARI KUKUMBUSHIA KWAMBA NA WAO SAFARI HII WAKALIE KIDOGO IKO KITI KWA NINI LAKINI MNATAKA KUKAA PEKEENU?
   
 12. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Yaani tupoteze miaka kumi kwa sababu hiyo hapo juu? Ze last taim tulipotumia vigezo vya ajabu ajabu kama hicho ulichotaja kilichotokea wote ni mashahidi. Mimi sitampigia mtu kura eti kwasababu anatoka sijui wapi, oh kwasababu huko sijui wapi hawajakalia kiti muda mrefu, NO! Na kama CCM watamsimamisha mtu kwa kigezo hicho, mbona oltenativu zipo nyingi?
   
 13. cooper

  cooper JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 394
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Basi ikiwa hivyo safari hii rais wa Zanzibar atoke Tanganyika. Kulingana na katiba ya Zanzibar "Zanzibar ni nchi. Iweje raia wa nyingine akalie kiti nchi nyingine? We need Tanganyika government back kabla hatujafikiria kupokezana uraisi wa muungano. After all hatutakiwi kumchagua mtu kwa utanganyika au uzanzibar wake ila kwa kuwa anafaa kutuongoza regardless anatoka zanzibar au tanganyika. Ni mtazamo wangu.
   
 14. T

  Tafakuru Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  let ability be the quality of our president...
  imeshatucost paka saiv kwa kuchagua rais kwa sababu za usoni
   
 15. a

  adobe JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Mara zam ya kina mama(migiro).mara zanziba yote ni tu awe muislam.mi nami nasema tupokezane kwa dini zetu.ni wakati wa wakristu.hata akitokea zanziba awe mkristu.nyie mafirauni mnataka mpange safu yenu ya magaidi tanzania.ona znz viongozi wote magaidi.shein kashindwa hata kumweka mkistu hata mmoja.bora garika liangamize nchi kuliko kuona tunatawaliwa na vichwa madafu
   
 16. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mbona kihoro. 2015 ni mbali sana kuweni na subra.
   
 17. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani mbona mzee wetu na baba wa taifa letu alishatufundisha jinsi ya kumchagua rais wetu wa jamuhuri ya muungano wa tanzania. Nawakumbusha hapa "tusimchague mtu kwa uzanzibari wake au utanganyika wake. Tukifanya hivyo basi tutakuwa tumekiuka miiko na tumekaribisha dhambi ya ubaguzi" hapa yatupasa tumchague mtu kwa uwezo wa kiuongozi na si sifa nyingine.

  Hivi hawa viongozi wetu huwa wanamuenzi mwalimu jk kwa lipi? Mboona kwa hili mwalimu alishatupa muongozo? Tuache ubaguzi jamani, hapa tuangalie sifa tu na wala si uzanzibar au utanganyika. Mbona tunapenda sana kujadili vitu visiokuwa na maslahi kwa taifa letu? Mnataka kuniambia matatizo tulionao sasa kama taifa dawayake ni kuwa na rais mzanzibar? Jamani tubadilike kifikra na kiakili pia. Tuache kuwa na fikra chakavu na hulka ya kibaguzi.
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kama ni hivyo na sie wabara zamu yetu kuwa rais wa zanzibar,huyu rais wa huku ni wa JMT(si tunamchukulia kama Rais wa Tanganyika aka Tanzania Bara)
   
 19. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Waache waendelee kuota. Hawatusumbui kichwa hao tumewaburuta toka muungano na tutaendelea kuwaburuta tu, watake wasitake, mpaka watakapo pata akili ya kuwapeleka watoto wao vyuo vya elimu ya juu, sio vyuo vya ...
   
 20. bona

  bona JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  kuna mkrsito mwanasiasa wa kuwa rais znz? maana sasa ni zamu ya mkristo hakuna cha zamu ya zanzibar wala nini condition ya kwanza awe mkristo aliyempokea yesu kama mwokozi wa maisha yake!
   
Loading...