Ndugu zangu wa JF na wa TZ kwa ujumla, tumeliwa kwenye viwanda vyetu alivyotujengea baba wa taifa JKN. Tumeibiwa katika rasilimali yetu ya dhahabu tunaendelea kuibiwa na rasilimali yetu ya...
CCM kushindwa kuwa kuwavua magamba mafisadi si wakupewa nchi tena.
Ndugu zangu wana JF ni vyema tuwekane sawa kwa jambo hiil ambalo sote kama WaTanzania yatupasa kulichukua kwa uzito wa aina...
​kuna mpambano mkali katika kampeni za mitaa kwa mitaa huku vyama viwili vikichuana kwenye kunadi sera na wagombea, na mashindano makubwa yanaelekea kubadilika kutoka CCM na CUF na kuwa CCM...
BUNGE limeiagiza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii izungumze na Serikali na madaktari ili kumaliza mgomo wa madaktari.
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameitaka kamati hiyo hiyo...
Mnyika ametoa hoja kuwa Sheria ya fedha haramu iingizwe kifungu cha msajili wa vyama kudhibiti fedha haramu kwenye vyama na uchaguzi. Alisoma ripoti ya utafiti Fulani (sikupata jina vizuri) wenye...
TAARIFA YA KAMATI YA MUDA YA KUSHUGHULIKIA MADAI YA MADAKTARI KUFUATIA TAMKO LA BUNGE (ILIYOTOLEWA LEO KWENYE VYOMBO VYA HABARI);
Baada ya taarifa ya bunge kuwasilishwa leo ijumaa, kamati...
Muswada wa sheria kuhusu fedha haramu uliendelea huku wabunge wakichangia hoja kwa kusuasua. Mwisho wa michango ndipo bunge lilipokaa kama kamati kupitia vifungu kwa ajili ya marekebisho na...
kutokana na wabunge kupenda posho na marupurupu mazuri na ubunge kuwa juu ya
Engineer
Daktari
Mwalimu
Mhasibu
Nesi
Secretary
Napendekeza walipwe kwa scale ya tanzani hivi kweli...
Mbunge wa Kawe kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Halima Mdee amesema uamuzi wa Naibu Spika kutaka suala mgogoro wa Madaktari lishughulikiwe na kamati ya huduma za jamii ni wa busara.
Mdee aliyasema...
katika magazeti ya leo kuna habari inayosema kikwete aagiza wanaoratibu misafara yake kwenda nje ya nchi kupunguzwa.
Mytake
1. Hivi ni kweli alikuwa ajui kuwa misafara yake ni mikubwa?
2. Kilio...
Si kweli kwamba lengo la Januari makamba na zito kabwe kuhusu hoja zao binafsi wanazotajia kutoa bungeni ni kutokana na huruma yao kwa watanzania… kama ambavyo wao na wapambe wao wanavyotaka...
tujadili uwezo wa kikwete wa kuteua viongozi,kuwasimamia na kuwachukulia hatua.hivi kweli anaweza chochote?
mbona ka-issue kadogo tu ka-madaktari kamemshinda!! je ingekua wizara!! hivi kweli huyu...
Published On: Thu, Feb 2nd, 2012
Tanzania | Published On: Thu, Feb 2nd, 2012
BAE Systems
BAE Systems, the aerospace and defence company, is poised to sign an agreement with the government...
Wakuu, naomba kuwasilisha...
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website...
baada ya kufanikiwa kuchakachua igunga amehamia arumeru mwigula amepiga kambi arumeru akipita vijijini huku akigawa pesa kwa wapiga kura ili kuweka mazingira ya wao kupata ushindi.ila kwa taarifa...
Habari watanzania,
napenda nitoe changamoto kwa taifa letu linavyoyumba kwa kukosa mwelekeo nikikazia katika suala la kilimo kwanza;Taasisi kama SUMA JKT wamenunua matrekta na wamejaribu kuuza...
Yes; hii ndio silaha iliyobaki sasa; kama wamepinga Katiba wakaeleweka; kama wamepinga udhalimu mwingi wakaeleweka sasa muda ni huu; mjadala wa madaktari usipojadiliwa leo hii watoke ktk ukumbi...