kwa mtazamo huo tuna wasomi hovyohao ambao ni tatizo siyo wasomi kwa maana halisi ya usomi! huwezi kuwa msomi ukawa tatizo kiasi hicho
Asante mkuu,najua Kitila si mwoga atashusha nondo mpaka wakome!Wana JF wenzangu, saa hizi huwa naangalia This Week in Perspective on TBC-1 ila leo nimeboreka hivyo nimetune ITV kipindi ni Kipima Joto, nimemuona mwana JF mwenzetu, Dr. Kitila Mkumbo ndani ya nyumba, tumsikilize akijadili mada ya " Watanzania na kulalamika"!.
Watch ITV live!.
Hamna taifa lililo na wasomi likadidimia....
Wana JF wenzangu, saa hizi huwa naangalia This Week in Perspective on TBC-1 ila leo nimeboreka hivyo nimetune ITV kipindi ni Kipima Joto, nimemuona mwana JF mwenzetu, Dr. Kitila Mkumbo ndani ya nyumba, tumsikilize akijadili mada ya " Watanzania na kulalamika"!.
Watch ITV live!.
Mheshimiwa Rais usikubali kupitisha hizo posho za wabunge kwa maana hakuna wanachokusaidia zaidi ya kukuangushaDr. Kitila kesama " No gain without pain!". " No sweet without sweat",
Watanzania tuendelee kulalamika kwa kujenga hoja.
Tuwaunge mkono watu wanaopigania maslahi yao.
Mafanikio yanapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii. Hakuna njia ya mkato. Hata posho za wabunge ni njia ya mkato ya ujanja ujanja!.
Kipindi kimemalizika
Asanteni na kwaherini!.
Dr. mkumbo yupo itv kwenye kipima joto itv akijadili mada ya leo iitwayo watz wamekuwa watu wa kulalamika.
Moja ya point yake amesema wasomi wamekuwa sehemu kubwa ya matatizo ya watz kwa sababu wakishapata maendeleo binafsi kama kuwa na gari mfano wa escudo na kiwanja tegeta,wanasahau majukumu yao ndani ya jami.
my take. divide and rule policy.wasomi wetu wameshindwa kuondoa mfumo huu maana wakishafikia ngaji ya juu ya maendeleo binafsi wanasahau kabisa jamii na ustawi wake