Kampeni zimepamba moto uzini CCM na Chadema vikichanja mbuga

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
​kuna mpambano mkali katika kampeni za mitaa kwa mitaa huku vyama viwili vikichuana kwenye kunadi sera na wagombea, na mashindano makubwa yanaelekea kubadilika kutoka CCM na CUF na kuwa CCM na Chadema
 
kunamtu humu jamvini kuwa mgombe wa magamba aliondolewa.. je ilikuwa uzushi?
 
Maskini cuf!ama kweli mshahara wa dhambi ni mauti,dhambi ya unafiki kwa cuf kukubali kuungana na ccm ndiyo inawatafuna.RIP cuf
 
kuna mpambano mkali katika kampeni za mitaa kwa mitaa huku vyama viwili vikichuana kwenye kunadi sera na wagombea, na mashindano makubwa yanaelekea kubadilika kutoka CCM na CUF na kuwa CCM na Chadema

CHADEMA naona munajikweza sana lakini mwisho wa siku kuna Kura zenu only 30 zinawasubiria!
 
​kuna mpambano mkali katika kampeni za mitaa kwa mitaa huku vyama viwili vikichuana kwenye kunadi sera na wagombea, na mashindano makubwa yanaelekea kubadilika kutoka CCM na CUF na kuwa CCM na Chadema

acha kuongea kama mwanasiasa, ongeza nyama kwenye taarifa yako hakuna kiti hapo .....propaganda.
 
si kazi rahisi kuamini kwamba chadema kiko juu ya CUF kule znz maneno matupu hayavunji mfupa. JF sio gazeti la udaku hapa kuna vichwa shuka nondo na sisi tutakuuliza maswali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom