Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mlioko mwanza tupeni update ya nini kinaendelea. Lakini,nime bahatika kuona picha hii ya sungu sungu huko kwenye matembezi yao leo. Najiuliza tu kama vyama vingine vikifanya hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kitabu cha Mandela, Long Walk to freedom anasema kila binadamu ana madhaifu yake na mazuri yake. Tangia JK achaguliwe hasa kipindi cha pili amekuwa anaandamwa sana na ukosoaji ambapo waweza...
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Rais na mwenyekiti wa ccm taifa ndg Jakaya Kikwete huu ni wakati wako wa kuchukua hatua dhidi ya wabunge wa chama chako kwa kukataa kukutana na wewe. Sababu wanayotoa eti umekataa kuwaunga mkono...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni kukosa meno katika Utendaji wake hana,anafanya kazi kwa shinikizo la watu fulani hamna utekelezaji wa maamuzi magumu,anasema hamna maamuzi magumu bali ni maamuzi sahihi na makini,uamuzi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama Ni miaka ni 35, Haiji kichwani! Ni nini Jubilee gani hii... Kama ni Watu mablimbali maarufu wa Chama simuoni yeyote anaehusiana na tukio hili! Ni moja tu, Publicity against Upinzani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hongera sana mpendwa kwa kutimiza miaka 35 umefanya mengi pamoja na hili
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Ccm na serikali yake ili kuja na kauli mbiu maisha bora kwa kila mtanzania je? Sisi kama wananchi tumesha yapata maisha hayo.
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Nasikitishwa sana na utaratibu wa wabunge wetu kukutana na kuwekana sawa ili kuwa na msimamo mmoja wa kulinda maslahi ya CHAMA. Binafsi sifuarahii utaratibu huu kwani umekuwa ukitumika kulinda...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Mie Mkweche! Nimekuwa nifatilia swala la Mapendekezo ya kufanyia marekebisho sheria ya Katiba Mpya, Nimeona jinsi CHADEMA walivofatilia na kuvalia njuga swala hili kwa kutumia Hekima na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Niliposoma habari hii nimesononeshwa sana. Siamini kama sheria ya mabadiliko ya katiba kiini chake sio maslahi kwa wananchi bali ni maslahi kwa chama tawala. Kwamba sheria hii ni kukiwezesha chama...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Karibuni katika mjadala unaoendelea sasa kuhusu MIAKA 35 ya CCM tija ili masuala kuhusu mwelekeo wa Taifa na hatamu za Uongozi Wageni Dr.Bana Dr.Ayoub Ryoba Nape Mnauye Stephen Maurice
0 Reactions
63 Replies
4K Views
Mie Mkweche nimekuwa nikifatilia na Kuzisoma habari za Wabunge wetu. Siku za Karibuni nimeona huyu Mama Shelukindo kama ndie Mpambanaji wa kweli na Mhe.Ole Sendeka ni Mtazamaji! Cha Kushangaza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
." WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO LAKINI WATAKUFA KWA PRESHA ZA DHAMBI, MUNGU YUPO UPANDE WETU." Ni moja kati ya maneno anayopenda kuyatumia Henry Kilewo wakati akiwa anatoa hutuba zake ktk mjukwaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi...
0 Reactions
84 Replies
9K Views
Wana JF habari za ndani za Idara ya fedha za Bunge zinasema zile posho nono za wabunge zimeshindikana kulipika kutokana na kelele za wananchi na hali halisi ya fedha serikalini,pia kiasi fulani...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Wana JF salaam.Ningependa niwaulize wataalamu wetu juu ya suala hili ambalo limekuwa likijitokeza mara kadhaa hapa kiwanja cha ndege Songea.Bendera ya CCM inapeperushwa mbele ya ofisi hii kwenye...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
1. Hana Kashfa, sio za kujilimbikizia Mali wala kashfa zingine za Maadili. Anajiheshimu 2. Yuko thabiti. Hayumbishwi, anasimamia anachoamini. Mfano mzuri ni jinsi anavyoliongoza Bunge 3. Ni...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya wanasiasa wakikaribishwa mahali kama wageni rasmi wakipata burudani na makaribisho mazuri watajifanya kuahidi vitu lukuki lakini wakifuatiliwa ni chenga tu hadi mfuatiliaji hukata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kutakuwa na mkutano leo saa nane mchana,kwenye address hii 8810 roundhouse cir Easton ,Md zip 21601.TUNAOMBA MTANZANIA MWENYE UCHUGU NA NCHI AJE KUTOA MAWAZO YAKE NINI KIFANYIKE HUKO NYUMBANI.NJOO...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi kimepata pigo la kuondokewa na viongozi wake wawili, akiwemo Mwenyekiti wa Wilaya,Hassani Mkopi na katibu...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…