Kumekucha Arumeru

Dume la Mende

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
423
64
Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
 
Kidume chama cha matumbuzi
 
hahaahahahahahahaha mi nafurahia hii post. mtoa taarifa anatoa white mbaya
 
kwa akili ya haraka haraka najua mtoa mada hujaoa maana bado hujapevuka vizuri...so kwa ushauri wangu hembu mchunguze demu wako jana alikua wapi? jamaa ameshapita nae...tena sasahivi wanakula raha ngurudoto...hahahaha hembu jaribu kumpigia demu wako utaamini nikuambiayo..umeliwa kijana!!
 
Wewe ni mwongo mangi, mitaa yote ulotaja jaribu kupita na nguo ya kijani kama utapona? Watu wamechoka labda uende ngabobo ndio unaweza kukuta wanachama magamba.

Kwa siku 4 huwezi zunguka kote huko meku, hizo ni propaganda, mmeanza kwa kurepea barabara sasahivi tena ile ya nkoaranga lakini cha ajabu mmeambiwa bendera zenu za kijani mshushe.

Arumeru hakuna anaetaka kusikia CCM na aliewaharibia zaidi mbali na mabovu yenu ya kawaida ni Kimaro.
 
Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
Taarifa Hewa!
Huna data yoyote katika hiyo porojo yako!
Ukisema zimerudishwa kadi nyingi maana yake nini?
 
Afadhali wamekabidhi Mwigulu kadi zao za CDM, nilifikiri wamemkabidhi wake zao. Wajiangalie vizuri huko...
 
Valia nguo ya chichiem upite anga hizo ulizotaja!

Siyo unapita ukiwa kwenye gari lako halafu unawachungulia watu ukiwa ndani ya kiyoyosi.
 
Apige pamba zao za mgao(kijani na njano) afu akatize kwa miguu au bike mtaani aoneshwe show mpya.
 
Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
Hapo kaka ni sawa na kumpigia mee gitaa! Hatudanganyiki, hiyo ni POROJO tu.
 
umeshalipwa???kama bado waambie wakupe hela yako faster ukapige dengerua pale Kikatiti kabla hawajaweka maji

NIKUHAKIKISHIE ,NAWEZA KUWA SIFAHAMU VIZURI KUHUSU ENEO ZIMA LA TANZANIA LAKINI ENEO LA KASKAZINI ,MANYARA,ARUSHA NA KILIMANJARO UKISEMA CCM HATA KWA KUJIFICHA UTAPIGWA MPAKA UFE,NA HUKU HAKUNA TUSI KUBWA KAMA KUMWAMBIA MTU CCM WEWE,WE MWANACHAMA WA CCM UNAWEZA KUANZISHA UGOMVI MKUBWA SANA

NA HII NASEMA SIO KWA VIJANA TUU,WATOTO HATA WATU WAZIMA,JUZI KUNA MTU KAPIGWA KWA SABABU AMEMUAMBIA MWENZAKE ANAFANANA NA JK

USIDHUBUTU KUSEMA VIBAYA KUHUSU CHADEMA MAANA UTAPIGWA UFE,KILA MTU HAPA ANAAMINI CHADEMA NDIO MKOMBOZI WA NCHI HII

CDM WONT LET U DOWN KEEP ON MA PEOPLE
 
Wewe ni mwongo mangi, mitaa yote ulotaja jaribu kupita na nguo ya kijani kama utapona? Watu wamechoka labda uende ngabobo ndio unaweza kukuta wanachama magamba.

Kwa siku 4 huwezi zunguka kote huko meku, hizo ni propaganda, mmeanza kwa kurepea barabara sasahivi tena ile ya nkoaranga lakini cha ajabu mmeambiwa bendera zenu za kijani mshushe.

Arumeru hakuna anaetaka kusikia CCM na aliewaharibia zaidi mbali na mabovu yenu ya kawaida ni Kimaro.

kuijua mitaa ya arumeru sio kigezo cha kutoa mada ya uongo acha ubwege wewe kama mapenzi yako kwa magamba ni yako tu usiusemee umma wa wa arumeru yambaaff!!!
 
Back
Top Bottom