Nape sawa sawa na chifu Mangungo, mbwa kibogoyo !

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
Ni kukosa meno katika Utendaji wake hana,anafanya kazi kwa shinikizo

la watu fulani hamna utekelezaji wa maamuzi magumu,anasema hamna

maamuzi magumu bali ni maamuzi sahihi na makini,uamuzi mgumu ni hoja za
vibaka au wasiojielewa,

source; star TV.
 
Kikwete ajiuzuri pamoja na serikali ya kifisadi CCM watuachie nchi yetu,tumechoka na ufisadi na ujambazi wa mali za watanzania.
 
ni mlopokaji asiye na adabu,eti watajiondoa..bansen bana naye ni msomo mpuuzi sana kumbe nimegundua kwanini mzee wa watu alihama udsm na kwenda saut.
 
Mkuu bora Mangungo hakuwa na elimu na hakujua anachokifanya ila huyu jamaa nizaidi ya zezeta!
 
Ni kukosa meno katika Utendaji wake hana,anafanya kazi kwa shinikizo

la watu fulani hamna utekelezaji wa maamuzi magumu,anasema hamna

maamuzi magumu bali ni maamuzi sahihi na makini,uamuzi mgumu ni hoja za
vibaka au wasiojielewa,

source; star TV.

Kwahiyo El alivyosema serikali ichukue maamuzi magumu alikua anamaanisha maamuzi kama hayo?
 
Kikwete ajiuzuri pamoja na serikali ya kifisadi CCM watuachie nchi yetu,tumechoka na ufisadi na ujambazi wa mali za watanzania.

Wenzako misri waliongea kwa vitendo wewe unaongea kwa keyboard tutafanikisha harakati za kuikomboa Tz kweli?
 
Back
Top Bottom