Rais kikwete anaona mbali kuliko wabunge wake wa ccm! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais kikwete anaona mbali kuliko wabunge wake wa ccm!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MKWECHE, Feb 5, 2012.

 1. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mie Mkweche!

  Nimekuwa nifatilia swala la Mapendekezo ya kufanyia marekebisho sheria ya Katiba Mpya,
  Nimeona jinsi CHADEMA walivofatilia na kuvalia njuga swala hili kwa kutumia Hekima na Busara.Vile vile Hekima ya Rais wetu nikaiona kwa jinsi alivyolopokea na alivolishughulikia swala hili kwa umakini mkubwa.

  Leo nasoma kwenye magazeti naona eti wabunge wa CCM wamepania kupinga hayo Marekebisho ya Msingi yaliopendekezwa na CHADEMA na Wadau mbalimbali yatakapowasilishwa Bungeni na Serikali!Nachohofia ni wingi wao,na kama kweli watakwamisha itakuwa kwa maslahi ya nani!
  Mie Mkweche,naona kama kuna hasira Ya kuzodolewa Juu ya Posho zao ndio mana wanataka kufanya haya!Kwa haili hii,kuna dalili za kutopitisha mabadiliko yaliyopendekezwa na matokeo yake katiba mpya itakuwa mbaya!

  Naanza pata mashaka na Uzalendo wa Wabunge wetu!mie katiba sasa siijui vema, ila kama rais anaruhusiwa na katiba iliyopo bora avunje hili bunge la sasa ikitokea linakuwa kikwazo cha kutupa katiba Bora na Makini!

  Kwanza bunge hili linatutia hasara kwa kupenda Pesa za umma! Wanapenda fedha zilekezwe mifukoni mwao badala kwa wananchi!
   
 2. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Angekua anaona mbali hili angeligundua mapema, mpaka kuambiwa na chadema? Mbona alikuwa anawadhihaki kwenye mikutano? Nadhani naye hafai
   
 3. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nafikiri kipindi hicho alikuwa anasikiliza wabunge wake!Kitendo cha kukubaliana na mapendekezo ndio,mie mkweche nimeona ameona mbali kwani safari ya katiba ndio kwanza bado mbichi
   
 4. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  JK ajitokeze hadharani aseme kuwa hayo marekebisho ni ya msingi kwa manufaa ya taifakisha awaambie wanaccm wenzake kupitisha au kutopitisha ni juu yao na hata wakitaka wampigie kura ya kutokuwa na imani naye..yeye anawe mikono. Huo ndio ushauri wangu kwa mh. Raisi. Mungu ampe hekima kuu majira haya.
   
 5. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabunge wa CCM walipigiwa kura na wananchi. Kwa hili jambo si la ccm tu ni la watz wote. BORA BUNGE LIVUNJWE ili wachumia matumbo kama akina Ng'amia warudi kwenye fani zao
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wananchi tunajua tunachokitaka katika hili. Kama hao wabunge wa CCM wanajiona wana akili kuliko wananchi, waache wapinge hayo mabadiliko
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Namshauri JK alivunje bunge kwa sasa walau tutamkumbuka kwa hilo
   
 8. M

  Makupa JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mheshimiwa Rais hakuna kurudi nyuma,wabunge hawako makini, fanya kile ambacho hata wajukuu zako watajivunia urithi wa katiba mpya ambayo watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yao wanaisuboti kwa hamu.Big up JK
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  sema hivi:
  wabunge wa ccm hawapo makini!!
  Usiwe kama mke wa fundi saa wewe!!
   
 10. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anataka naye Akitoka madarakani at least tumkumbuke kwa Hili la KATiBA mpya...hvyo juhudi zake Ni kulikamilisha hili b4 time yake haijesha.....lakini naaminitutamkumbuka kwa mengi zaidi ya hili la Katiba.......one of the Ni kuwachukulia poa washkaji zake aliyewapozisheni sehemu sehemu wakijimegea keki ya kijitaifa chetu hiki.
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Rais akilivunja bunge maana yake atakuwa amefunja serikali yake iliyoundwa kutokana na wabunge walioteuliwa kushika majukumu ya kuongoza wizara. Kwa hoja ya kuvunja bunge ni nzuri ila sasa tutarudi kwenye hili la rais atalazimika kuwa na wabunge wa mpito wa kuteuliwa naye ili washike madaraka mbalimbali kama uwaziri. Tukukumbuke kuwa kadiri ya katiba ya sasa mawaziri kuchaguliwa kutoka wabunge, na kama rais anaona asiye mbunge anafaa anawajibiki umtea kuwa mbunge kwanza ndipo ampe uwaziri.
   
Loading...