Ona vijana wakitanzania walivyochoka , je kwa utawala huu wataweza kuzuia hii nguvu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ona vijana wakitanzania walivyochoka , je kwa utawala huu wataweza kuzuia hii nguvu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by arusha 1, Feb 5, 2012.

 1. a

  arusha 1 Senior Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=6]." WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO LAKINI WATAKUFA KWA PRESHA ZA DHAMBI, MUNGU YUPO UPANDE WETU."

  Ni moja kati ya maneno anayopenda kuyatumia Henry Kilewo wakati akiwa anatoa hutuba zake ktk mjukwaa ya mikutano ya hadhara au mikutano ya ndani. Sijajua hii kauli ameibuni mwenyewe au ameinukuu toka kwa wahenga haijalishi wa ndani au wa nje, ila mm kwa mara ya kwanza nimeisikia toka kwake, na wakati anaitoa huwa hasemi kama amenukuu kwa mtu yeyote, hivyo kwangu mm hii ni kauli yake, Hivyo huyu Kilewo inabidi tumtazame kwa jicho la ziada, Kisha yale tutakayo yaona kwake kupitia hilo jicho la ziada lazima yatujenge. Mm binafsi nishaanza kumtazama kihivyo ww je?

  . Nitaandaa doc kuchambua na kudadavua kauli yake hiyo yenye maneno 15 ambayo ni machache mno lakini yana ujumbe MZITO, na kama tukiufanyia kazi ujumbe huo kama vijana, hakika TANZANIA YENYE NEEMA itabisha hodi si kama kuwa valandani ikiteta nasi kwa namna gani itafika chumbani.

  Henry Kilewo ni KATIBU WA MAKATIBU katika jiji hili la Dar es salaam

  HIYO DOC ITAWAJIA HIVI KARIBUNI, ENDAPO NIKIWA FREE, SI MNAJUA KUANDAA VITU HIVI VINAHITAJI MUDA HASA, ILI NISIJE KUWA MKURUPUKAJI KAMA miss mjengoni.

  PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOZ
  [/h]Like*·**·*Unfollow Post*·*about an hour ago

  • [*]Emmanuel Mwakyusa*and*Paul S Ng'Welemi*like this.


   [*]
   • [​IMG]


    Emmanuel Mwakyusa*hili ni kosaaa saana ndio mana tunataka POLICE SERVICE kazi yao isiwe kutuhukumu kifo bali kutufikisha kwenye vyombo vya sgheria kwa kufanmya hivi tutawasaidia POLISI wawe na maisha ya furaha hata baada ya kustaaaafu na si kam,a tunavyojenga UHASAMA baina yetuuuuabout an hour ago*·*Like*·*[​IMG]*1


   • [​IMG]


    Dotto Rangimoto*kweli kabisa. ktk hili wanzibari hawatamsaahu mahita.about an hour ago*·*Like*·*[​IMG]*1


   • [​IMG]


    Dotto Rangimoto*kweli kabisa. ktk hili wanzibari hawatamsaahu mahita.@Emmanuel Mwakyusaabout an hour ago*·*Like*·*[​IMG]*1


   • [​IMG]


    Emmanuel Mwakyusa*umeona MUNGU alivyowa ajabu na ameoa kulee sasa hana raha kuingia kule atahisi anaweza kuvamiwaa ni hatariiii hiii lazima ulitumikie TAIFA na uishi maisha ya raha hata baada ya kulitumikia thats the PRIDEabout an hour ago*·*Like*·*[​IMG]*1


   • [​IMG]


    Dotto Rangimoto*kweli kabisa, na bila shaka ni moja kati ya mambo yaliyo msukuma*Henry Kilewo*kutoa kauli hii, hivi mahita hajihisi kuwa yy ni mwenye dhambi?@Emmanuel Mwakyusaabout an hour ago*·*Like*·*[​IMG]*1


   • [​IMG]


    Emmanuel Mwakyusa*saana KILOWO yupo makini kaka ? namkubali sana huyu mtuuuu yupo thabiti ni jukumu letu kubnadilisha mambo yooote nyetiiiii na kufanya ulinzi mikonon i mwa watanzania na kuwa wazi na wenye kumaanisha si kuguna guna tuiuuuu DOTTO police kuuua ni kosaaa walitakiwa kujuta leo hiii hatuko tofauti na IRAQ hatupo salama kila siku watano kumi wamedopndoka kwa nini ? hatunma elimu ya kututosha kufanya maamuziii ? whyyyyyyyyyyyyyyyy?57 minutes ago*·*Like


   • [​IMG]


    Dotto Rangimoto*tatizo CCM walicheza na fikra zetu kitambo.51 minutes ago*·*Like*·*[​IMG]*1


   • [​IMG]


    Emmanuel Mwakyusa*najua hilo nio wakati wa kufanya mambop thabitiii umuhimui wa kuweka mitazamo na malengo ya kufikiwaaa watu wanaocheleweshaa wabakiiiii tuuuu wakuuuuu sio kucheza na HARAKATI40 minutes ago*·*Like

   
Loading...