Wanasiasa acheni ahadi za uongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa acheni ahadi za uongo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzamifu, Feb 5, 2012.

 1. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Kuna baadhi ya wanasiasa wakikaribishwa mahali kama wageni rasmi wakipata burudani na makaribisho mazuri watajifanya kuahidi vitu lukuki lakini wakifuatiliwa ni chenga tu hadi mfuatiliaji hukata tamaa. Mfano naibu meya mmoja alitoa ahadi ya kompyuta na fedha mahali fulani miezi 4 sasa hajatimiza ahadi yake. Chenga tu
   
Loading...