Update toka mwanza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Update toka mwanza.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Speaker, Feb 5, 2012.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mlioko mwanza tupeni update ya nini kinaendelea.
  Lakini,nime bahatika kuona picha hii ya sungu sungu huko
  kwenye matembezi yao leo.

  sungu sungu mwanza.jpg

  Najiuliza tu kama vyama vingine vikifanya hivi hatutaambiwa wana hatarisha
  amani,...upinde,mishale,...etc kwenye maadhimisho.
   
Loading...