Mh. Beatrice Shelukindo Mh.Ole Sendeka mpambanaji mzalendo!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Beatrice Shelukindo Mh.Ole Sendeka mpambanaji mzalendo!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MKWECHE, Feb 5, 2012.

 1. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mie Mkweche nimekuwa nikifatilia na Kuzisoma habari za Wabunge wetu.

  Siku za Karibuni nimeona huyu Mama Shelukindo kama ndie Mpambanaji wa kweli na Mhe.Ole Sendeka ni Mtazamaji!
  Cha Kushangaza vyombo wa habari va leo vinasema kwamba mama aliibuka na hoja kikaoni kwamba kama serikali na uongozi wa juu ni chanzo cha matatizo wafikirie kupiga kura ya kutokuwa na Imani na serikali.

  Mh Ole akamtaka mama aombe radhi kwa kauli hiyo,Mama akaomba radhi! Napata shida na Ole sendeka kwani serikali haihojiwagi au hata kukosa imani nayo Kwa Kutumia maongozi ya KiKatiba!

  Bahati mbaya mie siyo mchambuzi wa mjuzi wa mambo ya kibunge na katiba zaidi ya kuwa msikilizaji zaidi! Na kule mjengoni wa kuwategemea zaidi ni huyu mama Shelukindo, Zitto, Januari, Kigwangala, Lissu, Mnyika nk
   
Loading...