mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Wana JF habari za ndani za Idara ya fedha za Bunge zinasema zile posho nono za wabunge zimeshindikana kulipika kutokana na kelele za wananchi na hali halisi ya fedha serikalini,pia kiasi fulani kilichotengwa kitaenda Afya ili kupunguza migongano japo wabunge hawajataarifiwa na hadi leo hawajapata saeating allowance ila ni perdieem tu ya 1200000 ndo zimelipwa jana kwenye akaunti zao...