Mkutano wa watanzania leo washington DC[mgeni Mr Mbowe wa CHADEMA] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa watanzania leo washington DC[mgeni Mr Mbowe wa CHADEMA]

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by environmental, Feb 4, 2012.

 1. e

  environmental JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  kutakuwa na mkutano leo saa nane mchana,kwenye address hii 8810 roundhouse cir Easton ,Md zip 21601.TUNAOMBA MTANZANIA MWENYE UCHUGU NA NCHI AJE KUTOA MAWAZO YAKE NINI KIFANYIKE HUKO NYUMBANI.NJOO TUBADILISHANE MAWAZO ,JINSI YA KUMPONYA MAMA TANZANIA.MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 2. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  pamoja,watz.tuungane,dunia,nzima,kumwangusha,gamba.
   
 3. e

  environmental JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mkutano leo jumamosi kwenye address hapo juu au piga simu 240 401 0316 kwa maelezo
   
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naona dj mbowe zanzibar kumemshinda ameona akimbilie huko ili aje kujitetea kuwa hakuwepo
   
 5. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa pamoja tutaweza.
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,062
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Kila la heri huko mtoni,usisahau kuwakumbusha akina Balozi juu ya uzushi wa bongo...waambie sahivi waganga wa kienyeji wanaunda bunge la JMT na wanatunga sheria dhidi ya wataalamu wakiwemo madaktari
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  wewe lazima utakuwa na funza kichwani!
   
 8. h

  hans79 JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  rwekatale + maji majitu mpo kazin
   
 9. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
   
 10. K

  Kuntakint JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,112
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Nimekueleza toka mwanzo kuwa hapa hatulipani posho ya kuchangia ivyo jaribu kuwa muelewa. Hta ivyo elewa kuwa Zanzibar ni nchi
   
 11. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Mtusaidie jama nyie wa huko mbele naamini atakuja na mbinu mpya za ki ukombozi
   
 12. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Lazima ukombozi,umangimeza umefika kikomo chake,sasa si wadanganyika tena,miaka hamsini ya CCM hakuna jipya watoto wanakalia mawe na kuchafua nguo zao.Kila siku wanawajibika kufua ili hali sabuni imepanda kutokana na mfumuko wa bei wa asilimia 19.8%.Wale wasomi mliowaamini mkawapigania waje huko nyumbani nao wamewadhalilisha,wametekeleza tamaa ya nafsi zao zaidi kuliko maisha ya mtanzania mwenzao.wapo wengi ila aliyekuwa mbunge wa Nyamagana alikiuka misingi ya kuitumikia Tanzania na Watanzania wenzake.
   
 13. King2

  King2 JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Cahadema ndo kitu gani???
   
 14. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana tupo na nyie kokote kule,mapambano kila sehemu kumng'oa mkoloni mweusi CCM madarakani.
   
 15. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wai posho Mwanza. Wenzako kin Rtz, Rejao na FF nimewaona leo Ubungo leo asubuhi wamepanda Ally's Sports Bus wakielekea huko!

   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Shame...
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Jina lako linareflect ulivyo. Tukikuita wewe ni Tumbiri hamna utayemlaumu.
   
 18. e

  environmental JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mkutano umefanyika vizuri sana.na watu tumekubaliana lazima gamba la kobe litango'ka safari hii tunakuja na mbuni za kimataifa .sasa kazi kwao.mbiu yenu ya kasi mpya ipo wapi magamba????????.mtaona gwaride letu sasa hivi.sasa hivi hatutizami kushoto kulia tunatizama mbele tu kwa ajili ya wananchi pamoja na wewe unayepiga sasa hivi.mjukuu wako atatupongeza .
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Msafara wa Chadema umekwenda Marekani kwa pesa ya ruzuku?
   
 20. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mbowe amemuaga bi Kiroboto??
   
Loading...