Madaktari: Jiandaeni kuongea na JK kupitia wazee wa Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari: Jiandaeni kuongea na JK kupitia wazee wa Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tonnyalmeida, Feb 5, 2012.

 1. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo jioni jk ataongea na wazee wa mwanza, kama alivofanya kwa walimu jambo linalotegemewa kuzungumzwa ni mgomo wa madaktari..

  Naomba kuwasilisha.
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Huyu nae badala ya kuongea na madaktari yeye anaenda kuongea na wazee, ili wampigie makofi tu maana hata anachowaambia hawaelewi au huyu Vasco akili zake kama za hawa wazee ndio maana kila siku anaongea nao na anaogopa kuongea na watu wenye akili watamchallenge.
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Rais wako hajui nini kinaendelea kwenye nchi yetu, hata majukumu yake anaonekana hayajui.
   
 4. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Ikulu si sehemu ya kukimbilia,JK ni Rais aliyependwa 2005 ila ni Rais anayechukiwa mno kwa sasa
   
 5. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu katoka davos ameonekana akifungua benki, kuongea na asasi za kiraia ikulu, kuhudhuria sherehe za kilele za siku ya sheria ambako alikili serikali haina pesa, asubui hii maadhimisho ya miaka 35 ya ccm ktk viwanja vya furahisha na kirumba na leo jioni TBC1 wanasema atakutana na wazee wa mwanza kuongea nao LAKINI CHA AJABU HAJAKUTANA NA MADAKTARI KUONGEA NAO KUHUSU MADAI YAO YALOPELEKEA MGOMO NA WATANZANIA WENGI KUATHIRIKA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE.

  YOTE HAYO ALOYAFANYA TANGU ARUDI SIO MABAYA HAPA NACHOJARIBU KUKIWEKA SAWA NI NINI KIPAUMBELE CHA TAIFA HILI KWA WAKATI HUU KWA RAISI WETU?
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kwa sasa haruhusiwi kuongelea suala hili kwani linashughulikiwa na bunge.akifanya hivyo itaamaanisha anaingilia uhuru wa bunge.
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Wazee wenzangu hawa wa Mwanza hivi unadhani watamwambia nini
  Hakuna jipya hata moja ..
   
 8. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni masaa machache tu yamebaki kulithibitisha hili mzee meningitis. tulipe mda..
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kama akifanya hivyo itakuwa ni dharau kubwa sana kwa wanataaluma kwenye hii sekta...
   
 10. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Inategemea na agenda inayokupeleka ikulu.
  Kwa mabiznezz ni sehem mwake kabsaaa!
   
 11. m

  mareche JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hatuna rais hapa tz tuna mtalii
   
 12. 654

  654 Senior Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 173
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we keep our ears to the ground, who knows he may suprise us with some unheard wisdom, let us give him another chance
   
 13. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu historia inaonyesha ashafanya hvo na kuidhalilisha taaluma ya ualimu ambayo ninaiheshimu sana hvo sidhani kama ni ajabu kwa yeye kurudia hili katika taa!uma ya utabibu.
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Wazee wa Mwanza wamekwishamzarau ndio maana ukiangalia picha zao walipokuwa wanamkalibisha hawakuwa wamevaa magwanda ya kijani kama walivyovaa wanafunzi!!
   
 15. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  nikiangalia hotuba yake ya hapa kirumba ianelekea kajipanga sana.
   
 16. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,678
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  ni kweli kwamba watu wa mwanza hawana cha kumwambia rais?
   
 17. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,173
  Likes Received: 1,175
  Trophy Points: 280
  hana akili ya kujipanga huyo subiri uone upupu atakao mwagwa ambao utaiwasha tanzania kwa muda wa kutosha!
   
 18. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama sijamnukuu vibaya katka hotuba yake mwishoni ni kama kawaweka kiporo madaktari.. anasema leo hotuba haijagusa* adaktari sababu ulikuwa ni mda wa ccm sa sijui mda wa madaktari ni upi..
   
 19. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu watoto walikuwa kibao na sungusungu wamesombwa kutoka maeneo mbali mbali ikiwemo wilaya ya bariadi mkoa mpya wa SIMIYU ili kueneza propaganda eti watu walikuwa wengi.. kazi kwelikwel.
   
 20. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,173
  Likes Received: 1,175
  Trophy Points: 280
  usitarajie jipya hapa mkuu, mark my words!
   
Loading...