Watu hawa wameshaifanyia nini chadema? yupi abaki, yupi aondolewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu hawa wameshaifanyia nini chadema? yupi abaki, yupi aondolewe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, Feb 4, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana jf najitokeza tena na mada hii,lengo lkwa ni kukialert chama juu ya umuhimu wa viongozi tutakaowaona wanafaa zaidi ili wadumishwe na wale wanaoonekana kukidhoofisha chama(mamluki) ili warekebishwe(walelewe kwa ukaribu) kukinusuru chama
  1.J.Shibuda
  2.J.Selasini
  3.A.Safari
  na wengineo waliohamia toka ccm.je wana damu ya kijani ndani yao bd?
  1.Tundu Lisu
  2.Dr slaa
  3.P.mnyika
  4.F.mbowe
  5.S.arfi
  6.Z.kabwe
  7.E.wenje
  8.H.mdee
  ni jembe lp nimelisahau?karibuni nimelisahau
  2.
   
 2. t

  tweve JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Prof.safari anajidi sn kukijenga chama,lk shibuda na selasin ni mzigo kwa cdm
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Shibuda na zitto hawatufai,ila umemsahau KAMANDA WA ARDHI godbless lema.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hivi mwana CDM yeyote ambaye hakubaliani na UDIKTETA wa MBOWE na SLAA ni mzigo kwa Chama? Na yule anayenyenyekea kwa hao Mamwinyi ndiye jembe la Chama?. Thehe, thehe, thehe.
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Ni Rose Kamili.
   
 6. D

  Dik JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Samahan sana mkuu wangu Lema nimekusahau kukwka hp juu!namshkr sn mjumbe kunikumbusha!hakika ww ni Jembe la ukweli!hata ccm hapa a town wankhanya
   
 7. s

  saguge Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umemsahau kamanda wa tarime waitara hivi karibuni aliongoza igunga na sasa yupo zanzibar anaendeleza ukombozi.
   
 8. z

  zezeta Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JASIRI HAACHI ASILI..KILICHO WATOA MABWANA FULANI CCM NDIO HICHO HICHO KITAKACHOLETA FUJO CHADEMA.:alien::alien:
   
 9. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  kila mmoja anawajibu sawa kwa taifa,chama ni mlezi wa wote sasa ktk familia inayolea watoto wengi usitegemee watoto kufanana tabia,cha msingi wanaleleka.dr.slaa na mbowe ni walezi unaowafaham haraka lakin walez pia wapo weng na wote muhimu,tambua kuwa hata ulipo mathalani nyumbani kuna tofaut kubwa kati ya mtu mmoja hadi mwingine.
   
 10. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  piece of wisdom, uko sahihi kabisa.
   
 11. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Chadema hazina yenu kubwa ni John John Mnyika. Wekezani hapo. Anzisheni utaratibu wa kupeleka viongozi vijana nje wakati bunge lipo 'off season' wakajifunze mambo mbalimbali katika nchi za commonwealth n.k.
   
 12. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  mtumie maombi!!!
   
 13. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Nje wakafanyeje?? au wewe pia ndio muumini wa posho?? watembeee vijijini ndani ndani waoone matatizo ya wananchi na fursa zilizopo kuwanasua wananchi hawa maskini, kujifunza kwa wenzetu sio mbaya ila sio lazima uende ulaya au Amerika siku hizi dunia nin kijiji!!
   
 14. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii inathibitisha aliyeitoa ali log in jf akaone bora nayeye aanzishe mada aonekane yupo.
   
 15. k

  kiruavunjo Senior Member

  #15
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Shibuda na selasini hawafai, haswa huyo kilaza wetu wa huku rombo selasini nizigo kuliko pesa mbili.
  Wanao mponda zitto ni wapuuzi na watu wasio na fikra kwa sababu mdee zitto mnyika na lisu ni viungo muhimu sana katika bunge letu, na utakubaliana na mimi kama wewe ni mfatiliaji wa mijadala bungeni, hasa kwa miswada miwili iliyowasilishwa naserikali alhamisi bungeni.
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkuu, umemsahau Mhonga Said Ruhanywa (viti maalum) ni jembe sana
   
 17. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Chadema wanatakiwa wawe makini na majimbo ambayo wabunge wao hawajatekeleza chochote. Ushauri wangu watu kama Highness na Sugu wasingejaribu hata kugombea mwaka 2015 ili watoe nafasi kwa damu mpya. Ijapokuwa wengi wanamsikia sana Sugu kwenye vyombo vya habari, lakini ana wakati mgumu sana kutwaa jimbo la Mbeya mjini hususani akikutana na mgombea pinzani aliye makini!!
   
 18. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo wewe umeona mtu mmoja makini ni Mnyika tu kweli kila mtu na akili zake.
   
 19. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  throw selasini in the trashbin followed by shibuda
   
 20. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #20
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,592
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  wivu unakusumbua, hakuna kama zito CDM! kubali kataa na hapa unajianika tu..
   
Loading...