kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,066
- 1,535
ndugu wana jf.....
nawasalimia tena kwa hishma na taadhima kuu...
si kwa sababu mna sura nzuri, bali kwa uchungu uzalendo na uwezo wenu ulio na mchango mkubwa katika ujenzi wa taifa letu na demokrasia yake changa.....
mchango wenu huu ambao unamfanya hata mheshimiwa raisi na wasaidizi wake pia wabunge wengi kulog in na kuweza kufanya maamuzi.....
ninachoamini ni kuwa katika maslahi ya taifa hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu......
ndio maana katika hili la katiba mpya....umma umejikusanya, majadiliano yamefanyika, asasi zimejikusanya, jf imeanzisha jukwaa la katiba, vyama vimesigana...lakini baadae WENYE AKILI wameweka tools chini, wakatanguliza maslahi ya taifa mbele..
ni kweli katiba imewakutanisha hata DR SLAA NA RAISI KIKWETE KWA MARA YA KWANZA........
leo hii eti kuna fununu kuwa kuna RAIA FLANI TULIOWACHAGUA KUINGIA BUNGENI wanataka kuturudisha tulikotoka....
wanabeza na kutaka kukwamisha juhudi za wazi za JK na watu wenye mapenzi mema na nchi hii kutetea katiba bora....
nadhani ni wakati wa kuweka mkakati mzito....wa nchi nzima.....kumsupport JK katika hili...
narudia tena, katika national interest there is no pernmanent enemy au permanent friend....hapa ni hoja tu....
kuna maeneo huwa sikubaliani sana na Jk lakini sio hili la katiba.....
tusimame, wote kabisa kwa nafasi zetu tuonyeshe kumuunga mkono JK katika kipindi hiki kigumu....
tuweke itikadi zetu pembeni, na personalities.....na ya nyuma yawe ya nyuma,,,,
iwe AZISE, taasisi za dini.....jf kila pahala......
tusimame na jk katika hili......
tuwaelimishe hata hao wabunge wa CCM KUWA NJIA PEKEE YA KUWARESCUE WAO NA CHAMA CHAO KAMA INAVYOONEKANA SASA NI KUWA POSITIVE KAMA KINA KINGWANGALA NA KINA NDUGULILE........
wasiposikia basi na ifike pahala kama ni bunge na livunjwe.....
Tubebe gharama ya demokrasia........
tuijenge Tanzania mpya!!!!!!
Kama nlivyoanza, kwa hishma na taadhima kuu
naomba kuwakilisha!!