ccm yawafanya watanzia mangedere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ccm yawafanya watanzia mangedere

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SOKON 1, Feb 5, 2012.

 1. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  katika jambo lisilo la kawaida kwa binadamu mwenye akili timamu wa kufikiria na kutambua lipi baya na lipi zuri ila kwa watanzania imekuwa ngumu na kufikia CHAMA TAWALA KUWAGEUZA MANGEDERE KWA KUWAPIGA MISHALE JANA NA LEO KUWAPA NDIZI NA KUWAFANYA KUSHANGILIA.
  Kwa nini nimefikia kusema ivyo kwani leo katika maadhimisho ya miaka 35 ya ccm tumejionea jinsi walivyotumia gharama kubwa kutika kuwalaghai watanzania kwa kuwapa fedha, vinywaji na vyakula kwa siku moja ili kusahau machungu na mateso ya maisha makali ya gharama zake ili wafurahi uku wao wakiendelea kuwanyonya pasipo kuwajali watu wake ktk maisha yao mfano halisi kujikwapulia fedha za Richmond, Epa,na kuwaongezea gharama za umeme nk . Kwa mtu mwenye akili timamu leo ndio ilikuwa siku muhimu kwa kuwauliza ccm maisha mazuri kwa watanzania yako wapi ila wamesahau, Na hii yote inasababishwa na umaskini wetu na upeo mdogo wa elimu tunaopewa na serikali ya ccm kwa kutufanya wajinga na kutugeuza mangedere.

  Nawasilisha
   
Loading...