Jukwaa pekee!

Jqnakei

Senior Member
Dec 23, 2011
121
16
Wanajf niwapongeze kwa kaz nzuri mnayoifanya hasa ktk jukwaa hili, nimekuwa nikitembelea muda mrefu jukwaa hili kama ngeni nimejifunz meng kutokana na mada zinazoletwa humu na mawazo yanayotolewa na wachangiajihii, sasa nimeona yafaa kuwa member wa jf. zaidi tukilenga kuijenga nchi ye2 kwa PAMOJA kwa kushiriki MAWAZO.
 
Karibu, heshimu mawazo ya wengine, uhuru wa mawazo. Karibu sana
 
Karibu sana mi pia si mwenyeji sana ila nafurahi JF ni zaidi ya chombo cha habari najifunza mengi na napata picha halisi ya tulikotoka tulipo na tuendako.
 
Back
Top Bottom