Kwa nini lowasa hajawahi kuonyesha dhamira ya kukupambana na ufisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini lowasa hajawahi kuonyesha dhamira ya kukupambana na ufisadi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by greenstar, Feb 5, 2012.

 1. g

  greenstar JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Namshanga ndugu EL kushindwa kuonyesha dhamira ya kupambana na ufisadi,je yeye ni kipofu wa tatizo la UFISADI?
   
 2. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Usimuone mkuu,ni sawa na wewe kuambiwa binti yako ni mtoto wa kiume kwa kuwa tu anavaa suruali.uliona wapi mtu akaktetea imani asiyoiamini.
   
 3. m

  mharakati JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  he he safi sana kama kilio cha wananchi ni ufisadi na ufisadi ndiyo theme ya upinzani na wapinzani wake ndani ya CCM na ikiwa Mh EL ni front runner sasa kwa nini anapiga kelele za ajira ya vijana wakati ajira haiwezi tengenezeka kukiwa na mfumo wa kifisadi na mafisadi katika nchi...hii inadhihirisha nini? anataka kuwakumbatia mafisadi, ana urafiki nao, ameneemeka na mfumo wa kifisadi katika utumishi wake wa serikali, au alihusika na ufisadi x, x na x
   
Loading...