Je Wapinzani (CDM) ni Maadui Zetu? CCM Mnaboa! Huo ni Ufinyu wa fikra jirekebisheni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Wapinzani (CDM) ni Maadui Zetu? CCM Mnaboa! Huo ni Ufinyu wa fikra jirekebisheni!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Profesa, Feb 5, 2012.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Katibu Mkuu wa CCM nakuheshimu, sikatai siasa za Majigambo, ila Siasa ni mchezo wa kuimarisha maendeleo si vita. Hii Ndiyo tafsiri ya kisasa. Aaaaaaah!

  Hakuna anaeichukia CCM hicho ndicho mnachokosea, ila mnayoongea, hayafanani kabisa na sera za CCM. Hivi mnajua hao mnaowaita maadui zenu ni raia wa nchi hii ambao wako katika nchi mnayoitawala? Inamaana kwa tafsiri hii mbovu unayoisema, basi wanapaswa kutokupewa huduma, kushambuliwa, na hata kuangamizwa!!!!!!

  Vyama vingine vya CCM ni washindani na si wapinzani na si maadui! Please CCM wake up!
   
 2. delabuta

  delabuta Senior Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahii ndio shida kubwa ya haya ccm kila kinachosemwa na upinzani kwao ni kibaya na kama ccm wangekubali kuchanganya hata serikali na viongozi wengine wa upinzani tungekuwa mbali sana. tatizo kwao wanaona upinzani kama maadui wakubwa kwao sijui watalielimika lini na hili ndio litakalowaondoa madarakani haraka,sana.
   
 3. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Sijui lini watasoma alama za nyakati, Watanzania wameelimika kuna kizazi tofauti hakina Mvi ila kina akili mpya na kali na ya kasi.... Wanataka kujua CCM ina mpango gani wa kuwatoa wananchi katika misukosuko waliyonayo sasa/ Sio kutaka kutawala kimabavu na kuongelea upinzani na kuwagawa watu kwa sera za uadui n.k.
   
Loading...