Dr John Samwel Malecela na CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr John Samwel Malecela na CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masanilo, Feb 5, 2012.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bila ajizi mzee John Malecela amekuwa nguzo muhimu sana kwenye ustawi na kukifika CCM mahali ilipo leo. Ni Kada wa chama hiki kikongwe Afrika ambaye amekuwa akikisimamia kila anachokiamini. Nakumbuka ushauri wake kwa sisiem kuwa ifike wakati chama kichukue maamuzi magumu zidi ya Chenge na hata Lowassa ili kurudisha imani kwa wananchi. Mzee alidharauliwa na ushauri wake haukufutwa. Amedhalilishwa sana Chimwaga kwenye vikao vya ndani lakini Mh Malecela anaonyesha ukomavu wa kisiasa. Ila kwa sasa naona amechukia na kutokipenda tena chama chake cha CCM ndiyo sababu haonekani kwenye sherehe ya miaka 35 hapo Mwanza. Mzee chukua maamuzi magumu CCM si wazazi wako,
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Ingawaje anasema yeye hakuzaliwa kupewa nishani lakini nadhani huyu mzee lazima alisononeka kuona wakina Msekwa wanatunukiwa na yeye wanamtosa!!Tatizo kubwa ninaloliona kwa huyu mzee ni kujiingiza katika ndoa na huyu mama aliyenae kwani anampelekesha sana kama vile bado kijana; bahati mbaya mkewe wa kwanza alitangulia mbele ya haki kwani kama yule mama marehemu angekuwa hai Mzee John could have clinched the Presidency kwani alikuwa mshauri wake mzuri sana!! Just for the record mama Ipyana/late Mrs Malecela was a senior State Attorney!!
   
Loading...