Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

JK: Country first, CCM second Tuesday, 07 February 2012 23:2 President Jakaya Kikwete By Lucas Liganga The Citizen Chief Reporter Dodoma. The Constitutional Review Act 2011 Amendment...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Taarifa zilizo nifikia za kuaminika ni kwamba ccm kuanzia juma tano wataanza kupita nyumba kwa nyumba wakigawa fedha.taarifa imepatikana katika kikao cha pamoja na mgombea wa ccm mohamedraza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
CCM wakati ikiadhimisha miaka yake 35 ya kuwepo madarakani,vita baridi imekuwa ikiendelea Mikoani kuhusu uongozi na Mbio za Urais 2015..kwa hali isiyo ya kawaida Sasa Lukuvi ndo mlezi wa Chama...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Jamani kila nikifungua site naona list mbalimbali za wagombea wa uraisi mwaka 2015.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wamo maswahiba wakibwa Wa liz1
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Source: Global Publishers http://api.ning.com/files/ji1gQv4pp3wZWUMmiWr8RDtD4AOU55paMzRL-axzOC4utsNnqGcSPuTw--oYfGTjPZpIw9lQw*4WBFjkcT*8cWeboIb*7CMO/izekomedijan3012.jpg
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Huenda kuna jambo linataka kutokea Tanzania for the better or worse! Kwanini Taifa lina kila dalili ya kumeguka? Migogoro na mitafaruku ya kila aina: Kwa uchache nitaorodhesha michache na...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekaa na kutafakari mambo mengi yanayokwenda mrama hapa nchini nikahisi pengine kila mmoja wetu anafikiri kuna mtu wa kuleta mabadiliko au neema nchi hii bila yeye kuhusika,ukweli ni kwamba wewe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Gazeti la Mwananchi la leo, Jumanne, Januari 31, 2012 limeandika habari zenye kichwa cha habari – JK abariki posho mpya za Wabunge: Kila mmoja kulipwa sh 330,000 kwa siku. Habari hizi siyo...
17 Reactions
424 Replies
37K Views
Mzimu wa Richmond leo umejitokeza kwenye mjadala bungeni kuhusu utekelezaji wa maazimio 26 ya Bunge juu ya gesi asilia. Aliyerejesha kwa kishindo mzimu huo ni mbunge wa Ubungo John Mnyika ambaye...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimetafakari sana mwenendo wa nchi yangu na kugundua kuwa mwenye tatizo si rais, yaani jakaya Mrisho Kikwete. Nimebaini kuwa huyu jamaa anaipenda sana nchi yake na watu wake tena kwa dhati...
1 Reactions
80 Replies
6K Views
Tumesoma Wabunge wa CCM kutaka kugomea muswada wa mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya mabadiliko ya Katiba.Mapendekezo mapya ni matunda ya majadiliano baina ya CDM na Serikali baada yaSerikali...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Published On: Tue, Feb 7th, 2012 Tanzania | Published On: Tue, Feb 7th, 2012 Zitto Kabwe (Kigoma-North, Chadema), who also doubles as chairman of the Parliamentary Committee on Public...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Majuzi katika kikao kimoja cha CCM mkoani Kigoma, watumishi wa serikalini wanaolipwa mishahara kupitia kodi zetu nao walishiriki. Hawa watumishi ni kutoka Takukuru, Tiss, mkuu wa mkoa na mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Huu ndio upuuzi wa leo kutoka kwa Masoud Kipanya fuatilia kwa makini halafu tafakari kwa kina ewe Mtanzania mwenzangu!
1 Reactions
38 Replies
10K Views
hadi sasa hivi ni mtu wa pili anaongea lakini viti bungeni vinaonekana vipo tupu. wabunge wa ccm waliopo hawazidi 20. ova
3 Reactions
64 Replies
5K Views
Katibu mwenezi wa CDM Kilosa Bw. Ramond Mlama na Mjumbe wa Wilaya ya Kilosa Penfold Chimola wamekitosa CDM na kujiunga na CCM kwa kuwa CDM haina sera madhubuti, na CCM si chama cha wabaguzi na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naangalia TBc1 hivi sasa. Mbunge wa viti maalum Diana Kilolo anamfagilia sana Eliakim Chacha Maswi, Katibu Mkuu Nishati na Madini, kwa utendaji wake mzuri kwa muda mfupi aliokaa wizarani hapo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimepata taarifa kuwa Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa anaelekea kwenye ofisi za NCCR mageuzi kwa mazungumzo na katibu mwenzake Sam Ruhuza. Nafuatilia kujua kipi kinazungumzwa kati ya makatibu hao...
11 Reactions
81 Replies
7K Views
Mbunge machachali wa kigoma kusini ameipiga serikali kwamba ina ugonjwa wa kutokusanya kodi hasa kwenye kampuni za simu ilhali sekta ya mawasiliano ndio sekta inayokua kwa kasi kuliko zote nchini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…