Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makubaliano: Tukutane Salander Bridge mchana huu (saa nane); tuwe na mabango ili kuishinikiza serikali kuacha kufanya mzaha na afya za watu.Tujitokeze kwa wingi; tutakubaliana zaidi cha kufanya...
18 Reactions
459 Replies
37K Views
Mimi nashauri ni lazima waTz murejee katika mila na desturi zenu na kuachana na hizo za kizungu. Nakumbuka toka zamani kulikuwa na kuto kuelewana kunakoweza kutokea katika jamii mbali mbali mfano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa hisani ya Legal and Human Rights Centre kupitia kwa mwanajamvi EMT. Nimejikuta natoa machozi kitu ambacho hakikuwezekana katika maisha yangu yote hata pale nilipowapoteza ndugu zangu wa...
15 Reactions
61 Replies
6K Views
08 FEBRUARY 2012 *Huduma zote zasitishwa hadi kitakapoeleweka *Tamko la serikali lasubiriwa kuokoa jahazi *Wizara yahaa kutafuta madaktari wa ziada Na Waandishi Wetu Majira Vitanda vya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwangalieni chanel ten
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais anapokuwa nje ya nchi ni makamu wa rais anayeshika madaraka siyo waziri mkuu. Tangu mgogoro huu uanza tumemsikia sana waziri mkuu. Najiuliza yuko wapi makamo wa rais na kwa nini impression...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwandishi wetu, Dodoma KUFUATIA mgomo wa madaktari unaoendelea nchini, Baraza la Mawaziri limependekeza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Haji Mponda na Katibu mkuu wake, Blandina Nyoni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wed, Feb 8th, 2012 Tanzania |Wed, Feb 8th, 2012 W ed, Feb 8th, 2012 Foundation's Executive Director, Joseph Butiku Construction work of 20 and 14-storey twin towers commercial block...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Utata wa Sh 3trilioni wagundulika sekta ya madini Tuesday, 07 February 2012 20:23 Midraji Ibrahim, Dodoma na Boniface Meena Mwananchi MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kupimana nguvu kwa wiki kadhaa, hatimaye pinda amefyata mkia na kuamua kuwatafuta madaktari ili aongee nao wakati mwanzoni aliwapuuza na kuwakejeli, kweli maji yapo shingoni mwa serikali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nchi yetu imekumbwa na matatizo mengi hivi karibuni na tegemeo letu kwa kiasi kikubwa limekuwa juu ya wawakilishi wetu tuliowachagua kutuongoza na kututekelezea yale yanayoweza kuijenga Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muda huu Naibu speaker amehairisha Bunge mpaka kesho lakini hoja ya Mgomo wa Wa Dr bado unaendelea kupigwa danadana leo ni Mara ya sita wabunge kuja na hoja hii lakini Makinda na Ndugai...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Tanzania haina uwezo wa kupandisha mishahara ya walimu, madaktari, askari polisi na jeshi bila kubadilisha muundo wa serikali. Nilishasema hapa kwamba Watanzania inabidi waamue serikali ifanye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Safari ya ukombozi ni ndefu sana, mpaka tufike kazi ipo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri mkuu mizengo pinda leo amekutana na madaktari bingwa ktk hospitali ya mhimbili na kesho anakutana na madaktari na wadau wote wa afya wanaohusika katika mgogoro unaoendelea hivi sasa.lengo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mapambano yanaendelea Uzini. CHADEMA inazidi kuchanja mbuga. Makamanda wanafanya kampeni za lala salama sasa. Mikutano ya hadhara na mobile kampeni. Bila kusahau mtu kwa mtu kampeni, hasa...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Japo sijafikia hatua ya kumfananisha Kikwete na Hitler kwa kukosa huruma dhidi ya binadamu, kama walipofikia baadhi ya watanzania kutokana na alipowafikisha watanzania, najiuliza na pengine hao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani watanzania wenzangu naomba niwaulize kuwa Rais wa Tanzania ni nani? Mgomo wa madaktari yuko kimya. Posho ya wabunge kimya. Ufisadi ndani wizara mbalimbali kimya. Maisha magumu kwa...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Naamini CHADEMA ambacho ndicho chama tegemeo kwa wengi mnaona hali hii la mgomo wa madaktari!mbona mnakuwa kimya?maslahi mnayotetea ni yapi?dr slaa,zito kabwe,tundu lisu,peter mnyika na wengineo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kikwete aanze kipi? Chama, Serikali, Bunge ama Madaktari? Vijana wa mtaani wanasema “ameshikwa bapaya”. Bunge wanataka ongezeko la pesa - naona hilo anajaribu kutia mkazo hakusaini, lakini...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…