MAANDAMANO "BARIDI" NA Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAANDAMANO "BARIDI" NA Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzito Kabwela, Feb 8, 2012.

 1. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  "
  Makubaliano: Tukutane Salander Bridge mchana huu (saa nane); tuwe na mabango ili kuishinikiza serikali kuacha kufanya mzaha na afya za watu.Tujitokeze kwa wingi; tutakubaliana zaidi cha kufanya baada ya hapo."Source:
  Legal and Human Rights Centre | Facebook

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  Tangazo la kutaka watawanyike!!

  [​IMG]
  Mama Kijo Bisimba-LHRC Mkurugenzi

  Photos by @MichaelDalali
   
 2. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau taarifa za ndani kutoka LRHC wananchi waliohudhuria wameamua leo saa nane mchana katika eneo la salander bridge kumtaka rais aingilie kati hali tete katika nchi yetu. Tafadhali hudhurieni umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Usiniombe picha njooo upige mwenyewe
   
 3. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  LRHC ni nini? Toa taarifa zaidi ili nisijikute kwenye foleni ya wabunge wanokwenda India kupima presha wikiendi hii. Nikiulizwa unatafuta nini nisiseme sijui, au eti nchi ina matatizo mengi.
   
 4. Okuberwa

  Okuberwa Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Asante mkuu kwa taarifa.
   
 5. n

  naft Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Legal and Human Rights Centre, wakishirikiana na asasi nyingine nyingi za kiraia, wameandaa maandamano ya amani saa nane (1400HRS) mchana leo, kuanzia Salendar Bridge mbele ya bustani za St.Columba Parish (Mkabala na Hoteli ya Palm Beach). Watanzania, wapenda amani na wapenda haki, tuungane nao kutuma ujumbe kutaka Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Mganga Mkuu Wizara ya Afya wafutwe kazi mara moja; madaktari warudi kazini mara moja; serikali na madaktari wakae meza moja na kujadili masuala muhimu ya afya, na wafikie makubaliano ndani ya miezi mitatu!!CHUKUA HATUA SASA!Habarisha na wengine
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wjaribu wakione cha mtemakuni.wanatumia matatizo ya watanzania kujipatia umaarufu ee........
   
 7. k

  kilaboy Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  ok on my way now kuja, but vip wanakibali? tucje pokelewa na maji ya kuwasha
   
 8. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Legal and Human Right Center
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kama hawajipendi wajaribu
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mbona wale wengine wa tanzagiza wanasema saa tisa?nani anacoordinate?wanaharakati wanajifichaficha sana.....sasa sijui kama kibali cha maandamano wanacho?
   
 11. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh! wametangaza vya kutosha kweli?
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  we mchungaji nenda kanisani kahubiri.usijiingize huku kichwa kichwa.
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hebu toa maelezo vizuri maana pale barabara iko busy na hakuna nafasi ya kutosha, mtasimama wapi ili kujipanga na viongozi gani wa LHRC watakaokuweo? Maandamano yataelekea upande gani na nani atayapokea?
   
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Naona kashata na gahawa vimeanza kukulevya.....
   
 15. t

  trigger Member

  #15
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  Hapo hakuna kutafuta umaarufu bwana,wewe mtu wa aina gan washidwa hata kuwa na roho ya huruma kwa watanzania maskin akili yako na bi kiroboto mnafanana bwana,yadumu maandamano hayo
   
 16. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  naandaa Bango litakuwa na sura hii......JK toa Maamuzi......
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Weka picha tafadhali.
   
 18. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ninawaonya muwe makini maana tayari taarifa yenu imevuja na siyo maandamano baridi tena ila ni maandamano moto... Jamaa wa maji ya upupu wameshapata taarifa na wanajiandaa kufanya mambo!
   
 19. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  mbegu lazima ioze ndipo izae.....nendeni kwenye maanadamo nyie mliopo hapo dar!!!
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Jana usiku walisema maandamano yalikuwa yafanyike asubuhi, hatukuyaona! sasa hivi wanasema ni mchana kwa hiyo angalia usije ukatengeneza harafu likabaki nyumbani kwako likisomwa na familia yako tu!
   
Loading...