Chadema,
Siku zote tunaamini kushindwa na kushinda vyote ni sawa kwa anaeshindana. Na kama mtaaluma kutoa tathini yenu ya kushindwa kwenu katika jimbo hili la Uzini ambalo kila wakti...
Naomba niwakilishe taarifa hii kwa lugha ya kiingereza kama nilivyoipata, "The Minister of Finance and Economic affairs, Mr Mustafa Mkulo said in DSM yesterday, the contribution of the mining...
Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu asiyekuwa maarufu kipindi hicho, aliyekuwa akiitwa John Okello, John Okello alikuwa akiishi Pemba...
Wakati tukiendelea kupokea na kung'amua vitendo mbalimbali vya ufisadi vilivyofanywa na Mapacha wawili wa Wizara ya Afya (Blandina Nyoni na Dr Deo Mtasiwa), habari nilizozinyaka leo kutoka kwa...
Kutokana na mikakati mipya ya kuleta Maendeleo yenye Tija Ndani ya Chama, Chama cha Mapinduzi kimeamua kutengeneza Katiba mpya yenye Mtazamo mpya tofauti na ile ya awali iliyotengenezwa mwaka...
Pinda aachie ngazi
Pinda ameonesha udhaifu kama kiongozi na kama mshauri wa Rais.
Hivi ni kweli tulisubiri hali ifike ilipofika hapa ndio tujue kuwa madaktari kweli walikuwa wamemaanisha na...
Unafiki na uzandiki wa kinda na wenzake unabaki dhahiri, walishabikia posho mpya na kuushuhudia umma kuwa rais kapitisha zilipane mpaka washibe, je sasa watawaambia nini waTZ?
Katika harakati za kuendelea kuvuana ******* CCM NEC imewavua maraisi wote wastaafu uanachama wa NEC. Mfa maji huwa haishi kutapatapa hata ukimrushia boya anazama nalo. CHADEMA kiboko manake uwepo...
wana JF,waziri wa uchukuzi, Mh omar nundu anaongea sasa hivi ndani ya independent television (ITV) wadau mnaweza angalia na kumsikiliza,ili mwisho tuweke maoni yetu kutokana na mahojiano hayo...
Kipimajoto cha leo ITV
'mabadiliko ya katiba katika CCM,je itakirudisha katika zama za waasisi wake wa awali'?
Hapana=64%
Ndiyo=27%
Sijui=09%
Nape vueni magamba,badilisheni katiba ila...
Hatuwa inayo fikiwa Congo Leo ya kuchaguwa rais kila miula mitano ni Jambo linaloonyesha kwamba nchi inaelekea pazuri japo kuna matatizo kwani hilo ni Jambo la kawaida ukizingatia kama wakongomani...
Zambia wameweza, sisi tunasubiri nini?
Tukiendelea na CCM tutabaki kua wasindikizaji katika soka. Hongera SATTA hayo ni mafanikio ktk mwaka wako wa kwanza wa uongozi
Vyama vya upinzani vimejiandaa kukikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha ambapo vimetuma wanachama na viongozi wao kwenda kufanya kufanya...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa siku mbili unaojadili HALI YA SIASA ZANZIBAR huko hoteli ya Bwawani. Mkutano huo umeandaliwa...
Zambia bila makeke wamebeba kombe la ubingwa wa Afrika....................sisi tuna Raisi ambaye ni bingwa wa ahadi halafu mikakati yake ya utekelezaji ni bomu sana........................aliahidi...
Taarifa kwa vyombo vya habari
Utangulizi:
Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi imefanya kikao chake maalum chini ya mwenyekiti wake wa taifa dr. Jakaya mrisho kikwete tarehe 12.02.2012. Katika...
Huu ni ushauri kwa Dr. Slaa kuhusu maandalizi 'maalum' ya kuchukua hii nchi. Kutokana na muitikio mkubwa wa wananchi wa lika lote kuhusu kuwatoa ccm madarakani ningependa kutoa ushauri ufuatao...
Rais jk, ameitisha mkutano wa dharura wa nec mjini dodoma utakaofanyika tar 12 feb, naye nape amekiri uwepo wa mkutano huo na kusema lengo ni kujadili katiba mpya ya ccm.
Mwenyekiti wa CCM,Rais...
Wadau:
Jenerali huyo tena. Safari hii anaikosoa serikali kwa kutokuwa na utamaduni wa kutojifunza makosa yake na ndiyo maana huvurunda kila mara.
Bitter pill: Govt caves in to doctors...