Ushauri kwa Dr. Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa Dr. Slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MD25, Feb 12, 2012.

 1. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huu ni ushauri kwa Dr. Slaa kuhusu maandalizi 'maalum' ya kuchukua hii nchi. Kutokana na muitikio mkubwa wa wananchi wa lika lote kuhusu kuwatoa ccm madarakani ningependa kutoa ushauri ufuatao kwako.
  1-chadema ingeandaa mpango mkakati kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015. Huo, mpango mkakati ungewasilishwa kwa wanachama na kuweza kuufaam ipasavyo.
  2-Chadema inapaswa kufanya on-going fund rising. Chadema mfaham kuwa sisi wananchi tumechoshwa na hawa ccm na tuna moyo wa dhati wa kuakikisha mnaingia madarakani. Hii fund rising ingewasaidia sana kuweza kupata pesa za kujipanga vizuri.
  3- Chadema mngeakikisha mnatumia vizuri BAVICHA, kwa wao kwenda mkoa hadi mkoa, wilaya hadi wilaya, kitongoji hadi kitongoji, kuongea na vijana, kuweza kuwahamasisha, kwani vijana ni kundi kubwa, mkilitumia vizuri, hata ccm wakichakachua vipi mtashinda tu.
  Wakati wa ukombozi ni sasa, chadema amkeni, hacheni kufata style ya ccm, mnatakiwa mbuni yenu yenye kuleta mapinduzi.
  Naomba kuwasilisha.
   
 2. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  ushauri wako ni mzuri na bila shaka kazi hzo ulizotaja dr. alishaanza kufanya mara tu baada ya shughuli za uchaguzi kuisha na ameshatoa maelekezo zaidi ya mara mbili kwa viongozi wa kitaifa mpaka mashina namna ya kujenga chama na kuanza kufanya maandalizi ya kupata viongozi kuanzia level ya chini kabisa mpaka taifa,labda nikushauri wewe ktk eneo lako jaribu kuwaona viongozi wa chadema kwa maelezo zaidi ili mawazo yako mazuri yasaidie kujenga chama kuanzia ulipo mpaka taifa kwakuwa mawazo yako utakapoyapeleka kwa viongozi nao watafanyia kazi nawe utakuwa ni sehem ya ujenzi makini wa cdm.karibu!
   
 3. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nashukuru mkuu.
  Ila swala la fund rising ni very important ili tuwe na chama chenye 'good financial position'
  tunataka 2015 mpaka pachimbike.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ******* kazini
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  mwita habari
   
 6. k

  kanjanja Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ushauri huu umekwenda shule
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Upo vizuri
   
 8. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ni mawazo mazuri na kila mwanachadema popote alipo ni wakati wake kuyatekeleza haya usimsubiri kiongozi, kiongozi akute umeshaanza ikiwa kweli unapenda mabadiliko.
   
 9. B

  Bweru JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bravo, huu ni ushauri mahiri. Nafikiri ni vizuri kila mpenda mabadiliko aanze alipo kuelimisha umma juu ya kujikwamua na misha duni kwa kuondoa mzizi wa tatizo hilo ambalo ni ccm. Mimi kwa upande wangu nimeanza na vijana wa eneo langu. Wengi wameitikia na wameanza kuhamasika na kujipanga jinsi ya kufanikisha zoezi la cdm kuchukua nchi. Tuanze sasa, 2015 si mbali. Hakika, Tanzania bila ufisadi inawezekana. Kaulimbiu yetu ni "CHAGUA MABADILIKO, CHAGUA CHADEMA. TANZANIA BILA UFISADI INAWEZEKANA!!" Naunga mkono ushauri huu.
   
 10. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kweli mkuu.
  Ila uongozi wa juu wa chadema inawapasa waanze maandalizi ya NGUVU ya 'chukua nchi 2015'. Kwa sababu swala la kuchukua nchi kutoka mikononi mwa m.a.gamba si kitu kidogo.
  Chadema wanatakiwa waanze 'campaign' kuelekea 2015 tokea mwaka huu.
  Chadema wanatakiwa wafanye 'fund rising' ya NGUVU.
  Chadema imawapasa wafahamu sisi wananchi tumeichoka ccm, hatuitaki tena.
  Pia, wanatakiwa kujua kuwa huu ndio wakati wao, 'there is no tomorrow here'
  mh mbowe na Dr. Slaa, jipangeni kikamilifu, sisi wananchi tuko tayari kwa mapinduzi ya kweli...
   
Loading...