Zambia wameweza (hongera Satta), zamu yetu ni mpaka tuing'oe CCM madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zambia wameweza (hongera Satta), zamu yetu ni mpaka tuing'oe CCM madarakani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigoma 2015, Feb 13, 2012.

 1. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Zambia wameweza, sisi tunasubiri nini?
  Tukiendelea na CCM tutabaki kua wasindikizaji katika soka. Hongera SATTA hayo ni mafanikio ktk mwaka wako wa kwanza wa uongozi
   
 2. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kabisa Zambia imeonyesha concern ya soka ktk politics,huo ndio uthubutu wa creative leaders ambao Viongozi wetu inabidi wawe nao.KWA KAWAIDA MICHEZO NI INFLUENTIAL ASPECTS KWENYE USTAWI WA TAIFA LOLOTE LILE,KAMWE HUWEZI KUONA TAIFA LENYE MAPUNGUFU YA KISERA KTK SEKTA MBALMBALI LIKAWA NA MAENDELEO ENDELEVU.NITUMIE NAFASI HII KUMPONGEZA RAIS SATTA[A.K.A COBRA] NA WANANCHI WOTE WA ZAMBIA KWA SPIRIT AMBAYO WAMEONYESHA.NA HII NI SALAAM TOSHA KWETU WATZ KWAMBA KAMA MUNGU HATA TANGULIA KATIKA CHAGUZI ZA SERIKALI ZETU TUTAENDELEA KUWA KTK HEMAYA YA SHETANI.VILE NITOE USHAURI KWA WAZ WENZANGU KWAMBA TUOMBE KWENYE KATIBA IJAYO UANZISHWE MCHEZO WA KUCHANGIA TAASISI ZA DINI MAANA NAONA HUKO TUNAFANYA VYEDI KULHKO KWENYE STANDING SECTORS.ANYWAY NIMALIZIE TU KWA FALSAFA YA MZEE MDOE ALIYENIFUMDISHA PALE SON KWAMBA' USE YOUR HEART WITH INTELIGENCE FOR INTEGENCE SRINGS YOUR ISSUES OF LIFE.WELL KIGOMA.NAWASILISHA
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Neema huja wakati mkiwa na viongozi wasafi, wenye kutumikia watu wao siyo viongozi wasiopenda kuwatumikia wananchi!!
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Tatizo hasa la soka letu ni kwamba wachezaji wetu hawana lishe nzuri toka utotoni, matokeo yake wachezaji hawawei kuwa na stamina hata kidogo.Pili wachezaji waache kudanganya umri wao halisi mfano kaseja au machupa waulize umri wao watakuambia hawajafikisha umri wa miaka thelathini
   
 5. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Wala haiendi kwa zamu mzee...zambia kwani wameanza leo haya mambo mzee,toka enzi hizo wamekua wakitisha na kufika mpaka fainali..sema safari hii wamemalizia kabisa,sisi tunakalia simba na yanga zetu mpaka mwisho wa dunia,leo simba au yanga mojawapo ikimfunga mwenzake watu wanaumia mpaka wengine wana commit suicide,lakini timu ya taifa ikifungwa poa tu watu wanadunda,alieturogea kwenye timu hizo mbona katuweza!pandisha bei ya kitu chochote hapa nchini watu wako kimya ila tikisa simba au yanga kidogo tu utasikia watu wanataka kuandamana hadi ikulu,yani simba na yanga ni zaidi ya maisha yetu,ni zaidi ya mgomo wa madaktari na walimu..
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ivory COast wameshindwa pamoja na kimuondoa Gbagbo na Wattara alikuwepo uwanjani lakini wakapigwa bao mbele yake!
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mlimuona Mzee KK ndani ya uwanja akichagiza ishindi wa Chipolopolo. Huyu Mzee ndiye chachu ya kufanya vizuri kww Chipolopolo tangia enzi za KK Eleven. Sina hakika na juhudi za Cobra kwenye michezo.
   
 8. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Baba, hapa umelonga ..japo hatuwezi ku-rule out kilichoongezeka ambayo ni hari zaidi kutokana na kuwa na kiongozi mpya, kipenzi cha watu.
   
 9. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa, mzee KK alichagiza sana ushindi wa Chipolopolo. Ni furaha kwa Zambia, ni furaha kwetu majirani zao.
   
 10. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Hii timu iemandaliwa kwa miaka 6 mpaka kufikia mafanikio hayo......Alichochangia Satta labda ni kutoa hela tu(kama amezitoa kweli) za safari ya kwenda kwenye mashindano......
   
 11. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hata hapa Tz CCM wanania njema kbs kujenga shule za kata, lakin unajua kwanini ni mabomu ya kutegwa ardhini?
   
 12. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Team inaweza kuandaliwa hata kwa 15 yrz,lakini kama hakuna morali na uzalendo ni kazi bure!watanzania sisi ni blah blah tu kuanzia viongozi wa serikali mpaka wa soka!
   
 13. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  We wa kwetu atoe hela za safari halafu yeye safari zake! Sisi ya kwetu hatuna muda wa kuiandaa, mikakati feki, wachezaji wala ndumu, wengine wako vizuri ila hawajengwi ipasavyo, Ila ni dhahiri kuwa viongozi ni feki. Mie nilishangaa kutuletea huyo kocha wa sasa kichefuchefu (shame on you TFF). Kwa Marcio Maximo hongera Kikwete!
   
 14. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  miaka 10 kipa huyohuyo na hajapatikana mrithi wa Kaseja?
   
 15. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa nyie ninavyo kujueni mtataka first 11 ipitishwe na Kamati kuu ya Chadema na kwa kutumia formula ya Dr Kitila Mkumbo wote watatoka Kilimanjaro!
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,434
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  majirani nyie mnafurahi tu amwendi uko??anyway hongera majiraniiiiiiiiiiii
   
 17. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #17
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  they have done a great job, well done jirani.
   
 18. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #18
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamaa kaanza vizuri
   
 19. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #19
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu hii kitu nitaigongea like nikiwa kwa pc,yaani jana wakati tunaangalia game kila mtu alikua anamkumbuka maximo!wakati ule team ilikua na morali,nidhamu na uwezo wa hali ya juu,tatizo soka ya tanzania inaendeshwa na watu wenye uelewa mdogo waliokalia majungu kama jumapili kayuni,wamemuwekea maximo majungu ili wawarudishe kaseja na boban,mpira hauchezwi kwa matakwa ya viongoz wap...zi!team za taifa zinahitaji uzalendo/commitment ya hali ya juu!sio blah blah!ikumbukwe zambia huyu kocha waliachana nae,baada ya kuona mambo hayaendi sawa wakamrudia
   
 20. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Uwezo wa kufikiria kwa masaburi bwana!!
   
Loading...