CHADEMA na tathmini ya Uchaguzi jimbo la Uzini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA na tathmini ya Uchaguzi jimbo la Uzini

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Barubaru, Feb 13, 2012.

 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Chadema,

  Siku zote tunaamini kushindwa na kushinda vyote ni sawa kwa anaeshindana. Na kama mtaaluma kutoa tathini yenu ya kushindwa kwenu katika jimbo hili la Uzini ambalo kila wakti tuliaminishwa hapa barzani kuwa mambo ni mazuri sana na kampeni zinaendelea vizuri sana na mna uhakika wa kulichukua jimbo la Uzini.

  matokeo yametoka na kuonyesha kuwa mmepata asilimia nne (4%). Tukumbuke kuna viongozi wakuu walikuwa kule na kuweka kambi kuhakikisha ushindi na walikuwa wanachukua posho kila siku. Je hawakuliona hilo kuwa wanamwelekeo mkubwa wa kushindwa? na kupunguza nguvu kubwa.

  Tunaomba tathini yenu ya uchaguzi wa huko Uzini Znz ili kuona wapi mlijikwaa na hatua gani zitumike next time msijikwae tena ikiwa pamoja na kuwachukulia hatua wale wote waliohujumu iwe kwa kutoa taarifa au kwa vitendo na kupelekea kupata 4%.

   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  [TABLE="class: cms_table"]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD]Matokeo ya Uzini ni haya chini
  [TABLE="class: cms_table"]
  [TR]
  [TD]Chama cha Mapinduzi[/TD]
  [TD]5377[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Chama cha Demokrasia na maendeleo[/TD]
  [TD]281[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Chama cha Wananchi[/TD]
  [TD]223[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]TADEA[/TD]
  [TD]14[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]FFP[/TD]
  [TD]8[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Kura zilizopigwa[/TD]
  [TD]5902[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Kura zilizoharibika[/TD]
  [TD]28[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wasiopiga kura[/TD]
  [TD]2852[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  :hat:
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]a[/TD]
  [TD]8[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]a[/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 3. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Cuf mna asilimia ngapi?...I think you should worry much about your beloved CUF than CHADEMA because you are loosing ground in your own backyard.For the first time in history of Tanzania CHADEMA has beaten CUF to come second in Tanzania Islands.That's a huge telling in itself.And for this reason CHADEMA has segmented it's position as the main opposition party both in isles and mainland....and this is just the beginning there's much more to come!!...Rome wasn't built in 24 hours!
   
 4. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ukiwa na kondoo mia, kondoo mmoja akipotea utamwacha apotee? La hasha! utawaacha wale tisini na tisa na kumtafuta yule mmoja.
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Ndo maana unaitwa barubaru,chadema kwa siasa za kule imepata mwamko
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Ni vizuri ku share ni kipi mmejifunza kutokana na siasa za Znz? Tusiwe wachoyo ni vizuri kutathimini na sio kujificha na kufa kibudu.
   
 7. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hah hah hah Bbarubaru, sijui beberu me napita tu, roho ina kuuma kama kiroboto loooh!
   
 8. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Mwanzo mgumu lakini bila shaka wanauzini wametaarifiwa kuwa kuna chama mbadala ya CCM. Hivyo wakae mkao wa kula pindi wakiona maji yamewafika shingoni!
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Barubaru huna lolote zaidi ya chuki yako kwa Chadema. After all we siyo Mtanzania haya mambo ya huku kwetu yanakuhusu nini bi mdogo? We endelea kula bata huko huko ya huku tuachie wenyewe.
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hakuna wa wakufanya tadhmini wenyewe kupata 4% ndio ushindi mkubwa.
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Kumbuka mtu makini. hata akifeli anajitathimini kwanini amefeli.

  Sasa Chadema wanashindwa nini kuonyesha makosa ao hapa.

  Kumbuka Ritz, Mtendaji mkuu aliweka kambi kule Uzini na akina Mbowe na wengine walitia timu nzito sana kule pasi na kusahau hapa barzani kila siku tulikuwa tunapewa update kuwa mambo mazuri uzini na ushindi ni dhwahir.
  Sasa nashangaa iweje wapate 4%.

  pasi na shaka kuna matatizo makubwa katika uongozi wao hususan katika kutoa tathmini.

  naona leo hautatembe uchi kutoka Post mpaka Bunyokwa.

   
 12. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tumechakachuliwa
   
 13. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Safari ni hatua
   
 14. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Waulize TADEA na FFP. Hata hivyo kikubwa kilichoonekana kwenye siasa za Znz ni kuporomoka kwa CUF.
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  CUF ipo nusu kaputi

  tafakari na tathmini yako ya kinafiki
   
 16. M

  Molemo JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Udini ni dhambi mbaya sana.
   
 17. M

  Molemo JF-Expert Member

  #17
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mwalimu alilaani sana siasa za udini Tanzania
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Feb 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Ni dhahiri kwamba wewe si wa gerezani kama ulivyokjuwa unatuaminisha.

  Neno la kawaida sana kama hilo lisingekushinda, umeishia kubananga na huyo muarabu naye kabananga.
   
 19. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #19
  Feb 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye chama cha st.maalim seif ndipo ulitakiwa kuhoji imekuwaje kimeporomoka kiasi hicho?

  Kujaribu kukimbia aibu yenu ccm B kwa kuizungumzia Chadema ni zaidi ya uvuvuzela.

  Unatakiwa ukamuambie st.maalim seif na justa ladhu watoe tathmini ya kushindwa kwenu vibaya jimbo la uzini.

  Kwa chadema hiyo 4% bado ni mafanikio makubwa na hiyo ni kengere ya hatari kwa ccm B.
   
 20. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kilichofanyika Zanzibar ni uharamia wala siyo uchaguzi. Huwezi kuuita uchaguzi huru na wa haki huku wanaoenda kupiga kura ukiwatisha, unaandikisha majina na kuwafuatilia. CDM, hawakushtuka mapema kwa nini maggamba walikuwa hawaongei sana kwenye huo uchaguzi!!
   
Loading...