Kumbe mapinduzi yak zanzibar yalifanywa na mganda shujaa sio wazenji! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe mapinduzi yak zanzibar yalifanywa na mganda shujaa sio wazenji!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eghorohe, Feb 14, 2012.

 1. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu asiyekuwa maarufu kipindi hicho, aliyekuwa akiitwa John Okello, John Okello alikuwa akiishi Pemba ambako alitokea Uganda miaka michache tu. Ndani ya Zanzibar Okello alipata umaarufu kwa vijana majabari, ambao wengi katika wao walikuwa ni makuli na wachukuzi w meli zilizoingia na kutoka bandarini Zanzibar, kundi lake hili John Okello lilikutana kwa siri. Okello aliwapa matumaini ya mabadiliko watu wake hawa, wafuasi, ambao wakifanya kazi pamoja kwa muda mrefu, mara nyingine katika mazingira ya hatari, na tayari kufuata amri za kiongozi yeyote ambaye ataweza kuwalipa. Wao walikuwa waasi wanaotafuta makaazi.

  For more information google Zanzibar revolution. Mbona sasa hawajamtungia nyimbo au hakumbukwi kiivyo!
  [​IMG]
   
 2. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Asante kwa kuposti chochote. Ila si lazima uposti vitu ambavyo si vipya, na sio issues. Labda ni ugeni tu unaokutesa, huyu Okello ashajadiliwa sana.

  Sikulaumu
   
 3. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ni kweli kabisa..! karume alikuwa bongo kipindi hicho..! nashangaa wanavyomfagilia ati mwanamapinduzi..! IT WAS JOHN OKELLO, AFRICA'S OWN CHE GUEVARA
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Kweli vijana wengi hawaijui historia ya nchi hii.
  Mbona hilo la Okello linajilikana sana tena sana tu!
   
Loading...