NEC ya dharura Dodoma kishindo gani?

ANGA

Member
Jan 30, 2012
5
0
Rais jk, ameitisha mkutano wa dharura wa nec mjini dodoma utakaofanyika tar 12 feb, naye nape amekiri uwepo wa mkutano huo na kusema lengo ni kujadili katiba mpya ya ccm.

Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mh Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM Mh Wilson Mkama kabla ya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri Kuu leo katika jengo la White House la Makao Makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo

Sehemu ya wajumbe wa halmashauri Kuu ya CCM katika mkutano huo.
 
Hakuna jipya litakalojadiliwa pale. Ni ushamba huo, hakuna habari ya katiba ya ccm. Tunajua wanataka kuwatisha wabunge kuhusiana na misimamo yao kwenye mambo yanayolisumbua taifa letu. Tunafahamu pia kuwa hakutakuwa na waandishi wa habari katika kikao hicho. Kwa hiyo yote atakayoyasema nape hatutayaamini.

CCM haina dila wala mwelekeo wa kuikomboa Tanzania katika matatizo yaliyopo.
 
Finally, baada ya kuwa a katiba isiyokuwa na maana kwa miaka 20, hii ni nafasi ya CCM kuweka mambo yake sawa katika hilo;
 
Timing mbovu kujadili katiba ya ccm . utafunikwa na mambo ya migomo na katiba ya nchi.

Lakini cha kushangaza kingine kama ni katiba ya CCM kwa nini kiwe dharula kwa nini kisiwe wenye time table na schedule ya mwaka ya mwenyekiti na chama . Je mwenyekti na kikosi kazi chake waanafanya kazi kwa style ya zimamoto. Week by week.
 
Rais jk, ameitisha mkutano wa dharura wa nec mjini dodoma utakaofanyika tar 12 feb, naye nape amekiri uwepo wa mkutano huo na kusema lengo ni kujadili katiba mpya ya ccm.
Kiukweli lengo la kikao hicho sio kujadili katiba ya CCM, hoja ya kujadili katiba ya CCM sio hoja ya kidharura kihivyo!.

Lengo la kikao hicho ni ku practice Party Supremacy over the government!. Baada ya ile kanuni ya chama kushika hatamu kufutwa, kwa sasa taifa liko katika hali tete ya mgomo wa madaktari, JK ambaye ndiye mkuu wa the executive alitakiwa awe amesha intervene tangu hajaenda Davos!. Akiwa Dovos akatoa maelekezo kwa Pinda kufanya alichokifanya, aliporudi tuu hii ndio ingekuwa priority no.1 kudeal nayo ikiwemo kufanya maamuzi magumu lakini due to his weakness hakufanya lolote!.

The weak are always scared, hivyo anaitisha NEC ya CCM ili kupata baraka za maamuzi makubwa anayopanga kuyafanya ikiwemo kulivunja baraza la mawaziri au kufanya mabadiliko makubwa!.
 
Kuna viongozi wataotolewa nishai. We subiri utaja niambia.
 
Katiba ya CCM nayo inahitaji kikao cha dharura..!? Kwa hiyo watu waendelee kufa hadi hapo kikao cha dharura cha katiba ya CCM kitakapofanyika..?! BY THE WAY, MADAKTARI WANAOTAKIWA KUJIHESABU KUWA WAMEJIFUKUZISHA KAZI HADI MUDA HUU WAMESHAFIKA WANGAPI..? Serikali ituwekee idadi ya madaktari walikwisha fukuzwa kazi kwa kugoma hadi sasa
 
Mkuu Pasco,

Kuvunja Baraza kunahitaji baraka za NEC kweli?
Kwanini baraza livunjwe?....
Watendaji wakuu wa wizara ni makatibu wakuu, hawa mawaziri ni wasoma hotuba tu.
 
Sual kubwa ni kuwa kuna baadhi ya mawaziri wanataka kujiondoa ktk serikali na walishamdokeza mkulu akiwemo mtoto wa mkulima. Inasemekana MM ameshaomba mara mbili aachie ngazi ila wakamsihi aendelee. Suala lingine ni la mawaziri ambao anadai wamechoka na wanashindwa kwenda na kasi yake, anafikiri kuwatema kwa sababu za kiafya au umri
 
Bila kumpa Agrey mwanri uwaziri mkuu basi iyo post ifutwe,ila we pasco unafanya utetezi kwa jk,hakuna jipya.KWA TAARIFA YENU ULIMBOKA AMEWAMALIZA NA MGAYA NAYE YU NJIANI.arusha tunaandaa mgomo wa daladala kushinikiza uchaguzi kata ya daraja mbili
 
Mkuu Pasco,

Kuvunja Baraza kunahitaji baraka za NEC kweli?

Kwa Rahisi zezeta kama Kiwete inawezakana maana akili yake inahitaji Prime mover! Taifa limeingia hasara kwa kuwa na kiongozi mkuu legelege wa kufikiri kama huyu! Mimi naamini kwa sasa hivi bahati mbaya au nzuri MUNGU akamwita leo hii asilimia kubwa ya watu watashangilia! KAAZI KWELI KWELI!
 
Back
Top Bottom