Hii kali (sekta ya madini, kichefuchefu)

Kizotaka

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
561
107
Naomba niwakilishe taarifa hii kwa lugha ya kiingereza kama nilivyoipata, "The Minister of Finance and Economic affairs, Mr Mustafa Mkulo said in DSM yesterday, the contribution of the mining sector to GDP was projected to reach 10% in 2025, ( I do not know exactly when this projection was set but at present the contribution to GDP is 3.3%.)

Kichefuchefu kinaendelea " However, due to lack of expertise that goal under the National Development Vision cannot be achieved" Hivi kabla ya kuhutubia hawa vibuyu wanasoma hizi hotuba upya? wanatupeleka wapi hawa? ni umaandazi gani huyu maandazi anahutubia hapa? Total falier to this country economy, yani mpaka mwaka 2025 sekta ya madini pamoja na uchimbaji kuendelea bado haitakuwa na mchango wowote wa maana kwa taifa hili. Halafu uniambie tunaongozwa na chama bora, na nikipigie kura? Takataka na bure kabisa
 
Viongozi wetu ni mambumbumbu wakiongozwa na raisi kilaza. Aisee kwa hili linatia hasira maana sisi hatuuzi madini maana tunauza mchanga
 
Nitonye! hawajamaa wanaipika vita ya wenyewe kwe wenyewe na kwa hili naapa:A S embarassed:
 
Back
Top Bottom