Congo tumshuru MUNGU

m'monga

JF-Expert Member
Feb 13, 2012
213
67
Hatuwa inayo fikiwa Congo Leo ya kuchaguwa rais kila miula mitano ni Jambo linaloonyesha kwamba nchi inaelekea pazuri japo kuna matatizo kwani hilo ni Jambo la kawaida ukizingatia kama wakongomani sio wazoefu wa uchaguzi.

Mpe nafasi Kabila wakati wake ukiisha mwingine aendeshe gurudumu la nchi, ila rais wa Congo awe makini sana kwani nchi ina matatizo makubwa sana na wananchi wake sio wazalendo hawajuwi siasa ya kuipa Congo amani ya kudumu.
 
Back
Top Bottom