Hatimae posho zapigwa stop rasmi

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
Unafiki na uzandiki wa kinda na wenzake unabaki dhahiri, walishabikia posho mpya na kuushuhudia umma kuwa rais kapitisha zilipane mpaka washibe, je sasa watawaambia nini waTZ?
 
Kichwa cha habari na habari ya ndani zinatofautiana, vp mleta mada hujapata supu?
 
Msambaru vipi ulikuwa unakimbizwa ?.

Unafiki na uzandiki wa kinda na wenzake unabaki dhahiri, walishabikia posho mpya na kuushuhudia umma kuwa rais kapitisha zilipane mpaka washibe, je sasa watawaambia nini waTZ?
 
ungetulia ukaandika habari kwa kina na kwa ufasaha ungekuwa umefanya jambo la maana sana
 
Kitu kikipigwa stop, wakati mwingine kinaashiria kwamba kilikwishaanza kuwepo. Hizi posho naona tayari watu wengine walikwisha kula. Nani anakagua matumizi ya fedha za Bunge?? Tuelezwe nani alikwisha kula, kwa idhini ya nani, na adhabu yake ni ipi????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom