TCU ni chombo ambacho hutumiwa kuakiki elimu za watu waliosoma nje na ndani ya nje. sasa na jiuliza kuna haja gani ya kuwa bureaucratic nyingine ndani ya serikali kwa ajili ya kutafuna kodi za...
Binafsi napendekeza CHADEMA imsimamishe Dr.SLAA kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huko Arumeru. Hii itaipa chadema kwanza nafasi kubwa ya kukinyakua kiti hicho kwa kuwa Slaa kwa sasa ni heavy...
Kwataarifa kutoka watu muhimu waliokwenyemchakato wa Hamad Rashid wa Kuanzisha chama chake cha Allience for Demokratic Party(ADP)zinataja safu ya Uongozi wa chama hicho kuwa kama ifutavyo;-...
Jana jion majira ya saa 11, mmoja wa wana CCM aliyechukua fom za kugombea ubunge,mtoto wa marehem sumar kwa jina la sioi alifika nyumban kwa pasta anayeitwa emanuel maturo kijijin maji ya chai...
Ni wakati sasa Tanzania kufikiria na kuanzisha chombo kitacho ratibu na kusimamia shughuri za mipango ya maendeleo ktk halmashauri na taasisi mbalimbali. kwa kuzingati uwepo wa chuo cha mipango...
Nassari ni kijana mpambanaji, asiyekata tamaa na hata ccm arumeru wanamhanya, na hakika atakuwa mshindani wa kweli, ni miongoni mwa vijana wachache tishio waliopikwa na CDM, na kwa asili ya watu...
Ndugu wanaJF, nimeona niweke hii link ili tuweze kuona namna gani tunaweza kuwasaidia watanzania wengi ambayo ni wapiga kura, wajitokeze kwa wingi safari hii kupiga kura.
Unaweza ukaona hali...
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ni tajiri sana duniani, ukitaja nchi 10 bora zilizo jaliwa rasilimali nyingi huwezi kuiacha tanzania baadhi ya raslimali tulizo nazo ni kama vile:
1.maziwa...
mmoja wa wagombea kwa jina elileema anaetarajia kuchukua form jumatatu kwa tiketi ya ccm ameanza kampen kwenye msiba uliotoke leo ktk kijiji cha mbuguni..naona wafuasi wa chadema wameamua...
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.
1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha...
Wajameni kuna hili jambo ambalo limetokea kwa hawa jamaa wanaojiita CCM kuwaengua wazee waastaafu kutoka katika NEC yao, na kuwaundia baraza lisilo na meno, yaani baraza la washauri. Mi nionavyo...
polis mnashindwa kufanya kazi zenu kuwashika wizi wa mali zetu na ushahidi mnao mafisadi wamechota hela nyingi sana kila sehemu mnataka kushika rai wema
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, John Cheyo (Kushoto) akizungumza na wajumbe kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii walipokuwa wakiwasilisha taarifa za Wizara hiyo katika Osifi...
Wakuu poleni na kazi kwanza. Leo kuna kitu kimenisumbua kichwa yangu sana baada ya kuona hii kuhusu project ya Kilimo kwanza, cha kushangaza ktk ile pdf yao yenye orodha ya majina ya watakaokuwa...
Katika kile kinachoonekana sasa serikali imefilisika, imewakata nusu ya pensheni ya wastaafu ya mwezi February.
Kwa mfano wastaafu wengi hupokea sh 300,000 kila baada ya miezi sita. Sasa...
Balozi ziko hoi kifedha. Ni taarifa iliyowekwa wazi na vyombo vya habari leo. Hii taarifa imekaaje?
Tusaidiane kutafuta ufumbuzi, matusi tuweke pembeni. Tujenge hoja namna ya kujinasua na hali...
MBIO za Uchaguzi Mdogo wa Arumeru Mashariki, zimeendelea kushika kasi baada ya makada zaidi wa CCM akiwamo Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Arusha, Elishilia Kaaya, kuchukua fomu kuomba...
Mawaziri wawili nchini Uganda walipata adhabu ya kuachia uwaziri kwa kugundulika kupoteza zaidi ya dola 60,000,000. Mungu akupe nini katika nchi ya wapumbavu kama hii? Kwa habari zaidi, BONYEZA HAPA.
Wana JF kila siku tuanaskia madudu,ubadhilifua,Uzembe,Rushwa na Ufujaji wa Mali za Uma na kupotea uadilifu kwa Viongozi ambao unai buliwa na KAMATI za Kudumu Za Bunge,
Sasa ni Kipi kinachokataza...